Pole Prof. Adolf Mkenda kwa ugumu wa mazingira ya kazi

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Katika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia!

Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika kipengele kipi katika wizara hiyo?

Elimu? Aah wapi, Wanu ana elimu ya hapa na pale; Sayansi? Mmh labda sayansi kimu; Tekinolojia? Aah labda kutafuta followers tik tok na Instagram!

Wanu ni mtego katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia. Cho chote kitakachofanyika wizarani Samia atapewa live!

Prof. Mkenda chukua tahadhari usije ukajuta, tumekupasha mapemaaa!
 
Ingekuwa kirahisi hivyo basi hakuna mtu angetumbuliwa! Sasa hapo kwenye kutekeleza ndiyo kunahitaji akili kutumika!
 
Kwa nchi kama Tanzania unatakiwa ugeuke shawa moja kwa moja ili ule mema mm ningekuwa ndio waziri wa elimu bwana mkenda sifanyi kitu kila kitu namuuliza kwanza naibu wangu na tena namuita kabisa mwanangu.
 
Kwa nchi kama Tanzania unatakiwa ugeuke shawa moja kwa moja ili ule mema mm ningekuwa ndio waziri wa elimu bwana mkenda sifanyi kitu kila kitu namuuliza kwanza naibu wangu na tena namuita kabisa mwanangu.
πŸ˜‚πŸ˜πŸ™†
 
Ni upumbavu tu mkuu! Tumekuwa taifa la laughing stocks! Wanu ana kipi cha kuchangia kwenye elimu? Mama yenu hana hata akili ya kuzugia. Maana angekuwa nayo angempeleka hata kule maendeleo ya jamii akamsaidie Doro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…