Pole Prof. Adolf Mkenda kwa ugumu wa mazingira ya kazi

Namuonea HURUMA kweli Mama Tanzania...ila tutafika tu,hata kama kwa kuchoka
 
Ikifanyika cabinet reshuffle yoyote, Wanu atakua waziri kamili wa elimu kama alivyokua Makonda. Kawa elevated ndani ya mwezi mmoja.
Mwigulu endelea kuharibu, utakua balozi na kumuachia Bashite kiti.
 
Jap
Hapana, personality inahusika sana kwenye maamuzi wizarani hapo.

Mnamkumbuka Joseph Mungai alivyovuruga na kuleta maajabu ya kuunganisha chemistry na Physics kuwa somo moja, akafuta kilimo, akafuta Ufundi akafuta mpaka michezo, mashuleni.

Tanzania ni kama haijapata Kiongozi baada ya Nyerere. Tupo tupo tu.
 
Hujui unchoongea
 
Ikifanyika cabinet reshuffle yoyote, Wanu atakua waziri kamili wa elimu kama alivyokua Makonda. Kawa elevated ndani ya mwezi mmoja.
Mwigulu endelea kuharibu, utakua balozi na kumuachia Bashite kiti.
 
Gpa ya 2.9 mbona kubwa sana.

Mimi nimeenda Princeton na Gpa ya 2 plain na kule nikapiga 3.8/4.

Sasa hivi napiga mzigo NASA, satellite propulsion laboratory hapa Florida.

Nyie endeleeni ku jishaueni na hayo magpa yenu ya 5.5/5 ya kukariri muone kama itawapeleka popote
 

Inategemea ulisoma nini na wapi!
Hata hivyo nikupe hongera kwa kufanya kazi NASA. Kila la kheri.
Nina mdogo wangu pia ni Senior Application Manager, Iowa University.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…