Pole sana Haji Manara japo sasa uko Huru na Unajitahidi mno Kuinadi Yanga SC na Kujikomba Kwao, ila Wamekutosa Kiaina na Kukushtukia pia

Akatapeli magari kwa kumuweka mama yake bond
Ndiyo vigezo vyetu CCM.
Hawa vijana walioingia siku hizi CCM huwa hawajui kuwa ndani ya CCM ukipewa kitengo vuta chako.
Sasa wenyewe wanaleta uchawa badala ya kula
 
Inafikirisha sana
 
Kama kawaida yako kufuatilia watu na maisha yao.
 
Sawa si bishani nalo ilo najua ataenda gombea ccm ila kumbuka Zungu nae ni ccm tena ILALA lazima aue mtu alaf ni naibu spiker wa bunge ukumbuke
Zungu ameshasema hagombei tens ubunge, anataka kupumzika siasani, jimbo liko wazi
 
Naweza kuamini kuwa yanga wamemtosa
Kuna siku niliona ameandika instagram akiwalaumu viongozi wake wa yanga kushindwa kuingilia kati sakata lake la kufungiwa!
Ali kamwe anatosha sana yanga!
Genta yupo sahihi [emoji817]
 
Kuna ka ukweli. Na Leo nimemuona Haji akifurahia Yanga kufungwa na Ihefu.
 
...na yeye si ni kama Mzungu na ilala wanapenda wale watu kama wazunguwazungu hivi.

Kingine usimchukulie poa. Manara ni Mwana CCM aliyesomeshwa Propaganda na CCM na aliwahi kuwa msemaji wa CCM mkoa wa DarAlikuwa es salaam.
Alikuwa katibu wa ccm mkoa wa dar Es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…