Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

Hahaaaa...Umemaliza. Mie ni shabiki wa Popoma ila Leo kapatikana .
 
Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo.

Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba zako wakubwa Marehemu Ali Yusuf Tigana na Gwakisa Mwandambo Jirani yangu Kawe ( akiishi Mji Mpya ) nilipoona tu Viongozi na Mashabiki wa Timu uliyoifunga mara Mbili na Kuwaharibia Rekodi yao kule Mbarali Estates wanakutukana, wanakulaumu huku Wakiapa kuwa Watafanya kila waliwezalo Kuishusha Daraja Ihefu FC ( wakidai mnawabania na unawabania sana ) nilijua tu usingedumu Ihefu FC.

Kocha Zuberi Katwila kilichofanyika hadi ukatengenezewa Zengwe hapo Ihefu FC ni kwamba kuna Kiongozi wa Klabu moja na Tajiri wao wametumia Nguvu Kubwa ya Fedha na Ushawishi wa Viongozi Waandamizi Serikali wanaoishabikia hiyo Klabu ili Wewe ( kama Kocha usiyependa Unafiki, Uwongo na huchukui Rushwa ) uondolewe hapo ili Ihefu FC ianze Kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya NBC na ishuke Daraja ili Lengo lao litimie na Mkakati wao ukamilike na Msimu ujao wa Ligi Kuu kusiwe na Timu yoyote ya Kuihofia na Safari yao ya Kuchukua Ubingwa kwa Michezo yao ya Nje ya Uwanja waliyoizoea Kuifanya ifanikiwe huku wakiwa hawana Presha.

Kocha Zuberi Katwila nimesikia kuwa uko mbioni kutua Timu yako iliyokulea na Kukukuza ya Mtibwa Sugar FC ila Mimi kwa Uwezo wako mkubwa na Upuuzi ulioko Mtibwa Sugar FC ambayo nayo kwa sasa ina Virusi wengi wa Timu uliyoifunga mara Mbili Mbarali Estates hivyo nina uhakika ikikaribia Mechi na Wao utahujumiwa tu na Wenzako na hatimaye hata CV yako kuanza Kuharibika / Kushuka.

Uaminifu wako Umekugharimu Ihefu.
GENTAMYCINE: Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani[/I]" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila.

Nami GENTAMYCINE nina Swali kwa Kocha wa 'hovyo' Zubeiry Katwila kuwa sasa kama kumbe alijua kuwa huo Mchezo wake na Yanga SC Kwake haukuwa na Kipaumbele chochote kwanini asingewaomba tu TFF wawape Yanga SC Ushindi kuliko kuingiza Timu yake ya Ihefu FC ambayo jana si tu ilicheza Mpira mbovu bali pia ilicheza Mpira wa Kiuwendawazimu na wa Kipuuzi kama si Kitoto pia.

Mijitu mingine ni ya hovyo kama Sura zao tu. Halafu kwa Makocha wa 'hovyo' kama hawa na wengine baadhi ndiyo mnataka Soka la Tanzania likue? Kudadadeki zenu Simba na Yanga zitaendelea Kutawala Soka la Tanzania mpaka Kiama kitakapokuja.
 
[emoji23][emoji23] solenoid valve ina leakage mtu mmoja kwenye sura mbili
 
Back
Top Bottom