kuna kikundi ovu mtandaoni kinaratibu mapandikizi ya chuki kwa watanzania
kila kukicha kimekua kikitoa mada na michango isiyo na heshima kwa viongozi wa nchi
..kuna watu pia wamemwagwa mitandaoni kutetea na kuhalalisha utekaji, na mauaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kikundi ovu mtandaoni kinaratibu mapandikizi ya chuki kwa watanzania
kila kukicha kimekua kikitoa mada na michango isiyo na heshima kwa viongozi wa nchi
Pole wanapewa wanaohuzunikaHawa ndio wanadamu!
Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania!
Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana.
Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi anayefanikiwa haswa aliyeanzia katika magumu.
Piga konde moyo ...umma uliopata maji,barabara,vituo vya huduma vya afya na wanyonge wote waliopata ahueni wataombea baraka roho ya marehemu ipumzike kwa amani ya milele.
Usilipe ubaya kwa ubaya bali endeleza wema wa baba yetu aliyetangulia.
Tuliokunywa maji salama huku vijijini na tuliopata barabara ya kufika hospitali kwa wakati na tukakuta vifaa vya matibabu kamwe hatuwezi kusahau na kuacha kusali na kumuombea mema THE LATE ,THE LEGEND JOHN POMBE MAGUFULI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hivi tukiamua kufikiri kwa muktadha wa kitabu ina maana kabendera alipanga kisasi dhidi ya Magufuli??Je alifikia hatua ipi ya kisasi??nani yupo nyuma yake kwenye kisasi??nani alimuwezesha kulipa kisasi??
Hapa narudi kwenye msemo wetu muhimu...tumuachie Mungu!!
Naunga mkono hoja...Tulipinga utekaji, na mauaji, wakati wa Magufuli.
..Tunapinga utekaji, na mauaji, wakati wa Samia.
..Ndio maana tunasisitiza iundwe Tume Huru kuchunguza nini kilitokea, na nani alihusika.
..Tusipofanya hivyo wahusika watajisikia wako huru kufanya udhalimu wao.
..TANZANIA ISIYO NA UKATILI WA VYOMBO VYA DOLA INAWEZEKANA.
She is a human being and life should go on, si ulimuona Gracer?. Hata mimi kuna mtu ana macho fulani mimi hoi! Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?Nampendaga huyo mwalimu
gracer?She is a human being and life should go on, si ulimuona Gracer?. Hata mimi kuna mtu ana macho fulani mimi hoi! Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
P
Mnapingaje mauaji hali ya kuwa wenzenu wana taratibu zao na sheria za siri ambazo hazipo public?..Tulipinga utekaji, na mauaji, wakati wa Magufuli.
..Tunapinga utekaji, na mauaji, wakati wa Samia.
..Ndio maana tunasisitiza iundwe Tume Huru kuchunguza nini kilitokea, na nani alihusika.
..Tusipofanya hivyo wahusika watajisikia wako huru kufanya udhalimu wao.
..TANZANIA ISIYO NA UKATILI WA VYOMBO VYA DOLA INAWEZEKANA.
Yes Gracergracer?
Mnapingaje mauaji hali ya kuwa wenzenu wana taratibu zao na sheria za siri abazo hazipo public?
US Army wana kipimo chao wanaita DEFCON, kuna levels 5, ikifika level 1 ni hatari zaidi na jeshi hujiandaa kukabiliana vita ya nuclear.....sisi tunataka waliohusika wafahamike,wachukuliwe hatua, au wasamehewe. Kwamba makosa yalifanyika chini ya Raisi yupi hilo sio muhimu kwetu.
-Hata Lissu hawezi kumsahau.Hawa ndio wanadamu!
Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania!
Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana.
Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi anayefanikiwa haswa aliyeanzia katika magumu.
Piga konde moyo ...umma uliopata maji,barabara,vituo vya huduma vya afya na wanyonge wote waliopata ahueni wataombea baraka roho ya marehemu ipumzike kwa amani ya milele.
Usilipe ubaya kwa ubaya bali endeleza wema wa baba yetu aliyetangulia.
Tuliokunywa maji salama huku vijijini na tuliopata barabara ya kufika hospitali kwa wakati na tukakuta vifaa vya matibabu kamwe hatuwezi kusahau na kuacha kusali na kumuombea mema THE LATE ,THE LEGEND JOHN POMBE MAGUFULI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
US Army wana kipimo chao wanaita DEFCON, kuna levels 5, ikifika level 1 ni hatari zaidi na jeshi hujiandaa kukabiliana vita ya nuclear...
Hii mifumo ipo huku Africa tena ni siri, wana viapo, sheria intel n.k.... na kazi ndio hiyo ku deal na vyama pinzani, wanasiasa , taasisi ambapo inaonekana kwao ni threat hasa kukiondoa chama tawala madarakani...
Nadhani ni mifumo iliyopo ndani yenye nguvu sana kuliko hata hio mnaita mihimili...
Hata aingie malaika kutawala bado utekaji, utesaji na mauaji hautokoma...
Kazi kwenu mnapoona kwamba mahakama ina uwezo kuzuia...
Toka enzi za mzee Ben kurudi nyuma na hadi sasa haya yapo, utofauti ni kwamba hivi sasa ujio wa social medias unasaidia pakubwa watu kufahamu yanayoendelea na kupaza sauti , na habari zinafika kwa wakati.....mkiacha hali iendelee namna hii ndio mnatoa mwanya wa kila mtu kutuhumu anavyojisikia.
..Na tuhuma dhidi ya Magufuli chanzo chake ni mazingira hayo mnayoyalea.
..TANZANIA BILA UKATILI WA VYOMBO VYA DOLA INAWEZEKANA.
Kwa bahati huoujingawao unaishia humu humu JF, hukonje watu wanaangalia fact.kuna kikundi ovu mtandaoni kinaratibu mapandikizi ya chuki kwa watanzania
kila kukicha kimekua kikitoa mada na michango isiyo na heshima kwa viongozi wa nchi
In short ccm imeoza! Wananchi wamelala. Upinzani hawajitambui!Toka enzi za mzee Ben kurudi nyuma na hadi sasa haya yapo, utofauti ni kwamba hivi sasa ujio wa social medias unasaidia pakubwa watu kufahamu yanayoendelea na kupaza sauti , na habari zinafika kwa wakati...
Nadhani kuna yaliyotokea nyuma yanatisha zaidi...
Hivyo vitengo vipo, ndio yale unashangaa mkuu wa wilaya anaongea kwa jeuri na makamu wa rais na kumjibu atakavyo.
kweli mkuu...In short ccm imeoza! Wananchi wamelala. Upinzani hawajitambui!