Pole Sana Mama Janeth Magufuli pokea upendo na faraja ya umma wa Watanzania hata milele

Pole wanapewa wanaohuzunika
 

..suala la Ben Saanane, Azory, Akwilina, yote tumuachie Mungu?

..kwanini serikali isiunde Tume kuchunguza, na kutupatia ukweli, halafu baada ya hapo ndio tumuachie Mungu.
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Mnapingaje mauaji hali ya kuwa wenzenu wana taratibu zao na sheria za siri ambazo hazipo public?
 
..sisi tunataka waliohusika wafahamike,wachukuliwe hatua, au wasamehewe. Kwamba makosa yalifanyika chini ya Raisi yupi hilo sio muhimu kwetu.
US Army wana kipimo chao wanaita DEFCON, kuna levels 5, ikifika level 1 ni hatari zaidi na jeshi hujiandaa kukabiliana vita ya nuclear...

Hii mifumo ipo huku Africa tena ni siri, wana viapo, sheria intel n.k.... na kazi ndio hiyo ku deal na vyama pinzani, wanasiasa , taasisi ambapo inaonekana kwao ni threat hasa kukiondoa chama tawala madarakani...

Nadhani ni mifumo iliyopo ndani yenye nguvu sana kuliko hata hio mnaita mihimili...

Hata aingie malaika kutawala bado utekaji, utesaji na mauaji hautokoma...

Kazi kwenu mnapoona kwamba mahakama ina uwezo kuzuia...
 
-Hata Lissu hawezi kumsahau.
-Hata wazazi wa Ben Saanane hawawezi kumsahau.
Nao pia ni Watanzania wenye haki sawa na Watanzania wengine.
 

..mkiacha hali iendelee namna hii ndio mnatoa mwanya wa kila mtu kutuhumu anavyojisikia.

..Na tuhuma dhidi ya Magufuli chanzo chake ni mazingira hayo mnayoyalea.

..TANZANIA BILA UKATILI WA VYOMBO VYA DOLA INAWEZEKANA.
 
..mkiacha hali iendelee namna hii ndio mnatoa mwanya wa kila mtu kutuhumu anavyojisikia.

..Na tuhuma dhidi ya Magufuli chanzo chake ni mazingira hayo mnayoyalea.

..TANZANIA BILA UKATILI WA VYOMBO VYA DOLA INAWEZEKANA.
Toka enzi za mzee Ben kurudi nyuma na hadi sasa haya yapo, utofauti ni kwamba hivi sasa ujio wa social medias unasaidia pakubwa watu kufahamu yanayoendelea na kupaza sauti , na habari zinafika kwa wakati...

Nadhani kuna yaliyotokea nyuma yanatisha zaidi...

Hivyo vitengo vipo, ndio yale unashangaa mkuu wa wilaya anaongea kwa jeuri na makamu wa rais na kumjibu atakavyo.
 
kuna kikundi ovu mtandaoni kinaratibu mapandikizi ya chuki kwa watanzania

kila kukicha kimekua kikitoa mada na michango isiyo na heshima kwa viongozi wa nchi
Kwa bahati huoujingawao unaishia humu humu JF, hukonje watu wanaangalia fact.

Kujaribu kubadilisha uwongo kuwa ukweli inabidi ukweli usionekane kabisa nainabidi kutumia akilinyingi sio ujingaujinga wanaousambaza kwenye vitabu.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Yaani wote wanaompenda JPM na kuziimba sifa zake ni vilaza. Wengi hawakumjua na kumzingatia. Wangesafiri walahu safari moja kutoka Singida ~ Mwanza wanayaone yale mashimo kwenye barabara za makandarasi wa JPM bila shaka watauona utapeli wake!
Lilikuwa Jizi sana lile lijamaa!
 
In short ccm imeoza! Wananchi wamelala. Upinzani hawajitambui!
 
Nyie vijana matahira hamjui chochote katika Taifa hili
Janet alikerwa sana na tabia za Mzee mpaka kufikia kutengana mara kadhaa.
Hivi unadhani kuna ushenzi katika ndoa zaidi ya mume kutembea na mdogo wako tumbo moja?
Huyo tahira alifikia mpaka kuzaa na mdogo wa mke wake watoto 2 kwa awamu tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…