Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Gambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .Makonda amefanyaje kwa Gambo? Hebu eleza vizuri sio kila mtu yuko huko Arusha.
Gambo is a bastard and so is Makonda. Fvck’em all.Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Fugisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to reap ur karmic debt .
Pole Sana , What you sow you shall reap.
Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya Ila lazima you will pay that debt .
Na wanakutoa Bungeni kipindi ambacho unataka Sana huo ubunge .
Ila Makonda jinsi ulivyomfanyia Gambo utalipia that karma na wewe ni swala la Muda .
Ni jambo jema. Kila ubaya utalipwa kwa gharama za juu zaidi.Gambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .
Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.
Kwahiyo Gambo kapotezwa Mara moja
Unaelewa maana ya "mapendekezo"? Kwa hatua ya sasa Gambo kutokuwepo haimaanishi kuwa ndio mwisho. Hatua ya mwisho kabisa majina matatu yatarejeshwa jimboni kutokea kamati kuu ya chama. Hayo majina matatu yatakayorejeshwa jimboni ndio yatapigiwa kura kutafuta mgombea. Ivyo kwa ishu ya Gambo , kamati kuu ya chama itakavorejesha majina matatu ya wagombea pale Arusha jina la Gambo linaweza kuwepo au lisiwepo kutokana na sababu mbalimbali watakazotumia CC kuchuja hayo majina.Gambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .
Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.
Kwahiyo Gambo kapotezwa Mara moja
That game is over NiggaUnaelewa maana ya "mapendekezo"? Kwa hatua ya sasa Gambo kutokuwepo haimaanishi kuwa ndio mwisho. Hatua ya mwisho kabisa majina matatu yatarejeshwa jimboni kutokea kamati kuu ya chama. Hayo majina matatu yatakayorejeshwa jimboni ndio yatapigiwa kura kutafuta mgombea. Ivyo kwa ishu ya Gambo , kamati kuu ya chama itakavorejesha majina matatu ya wagombea pale Arusha jina la Gambo linaweza kuwepo au lisiwepo kutokana na sababu mbalimbali watakazotumia CC kuchuja hayo majina.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤗🇯🇲Ni jambo jema. Kila ubaya utalipwa kwa gharama za juu zaidi.
Kwani kilimo hakimfai Gambo habari imeisha hiyo MkuuUnaelewa maana ya "mapendekezo"? Kwa hatua ya sasa Gambo kutokuwepo haimaanishi kuwa ndio mwisho. Hatua ya mwisho kabisa majina matatu yatarejeshwa jimboni kutokea kamati kuu ya chama. Hayo majina matatu yatakayorejeshwa jimboni ndio yatapigiwa kura kutafuta mgombea. Ivyo kwa ishu ya Gambo , kamati kuu ya chama itakavorejesha majina matatu ya wagombea pale Arusha jina la Gambo linaweza kuwepo au lisiwepo kutokana na sababu mbalimbali watakazotumia CC kuchuja hayo majina.
Let's see.That game is over Nigga
Karmic debt what you sow you shall reapLet's see.
😂Kwani kilimo hakimfai Gambo habari imeisha hiyo Mkuu
Ilikuwa lazima akatwe. Huwezi bishana na mchengerwa(cheo cha kifamilia baina yake na raisi nadhani unakijua) kwa lengo la siasa xhafu halafu ubaki salamaGambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .
Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.
Kwahiyo Gambo kapotezwa Mara moja
Ilikuwa lazima akatwe. Huwezi bishana na mchengerwa(cheo cha kifamilia baina yake na raisi nadhani unakijua) kwa lengo la siasa xhafu halafu ubaki salama
When it is ur time to go down you become vision less .Ilikuwa lazima akatwe. Huwezi bishana na mchengerwa(cheo cha kifamilia baina yake na raisi nadhani unakijua) kwa lengo la siasa xhafu halafu ubaki salama
Let the survivor survives .. these young men have battled long. Let's find a true winner.Gambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .
Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.
Kwahiyo Gambo kapotezwa Mara moja
I saw this was coming.... Mla huliwa, now zamu ya Gambo. Kinachoendelea huko kijani na mnjano is like corean drama.Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Fugisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to reap ur karmic debt .
Pole Sana , What you sow you shall reap.
Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya Ila lazima you will pay that debt .
Na wanakutoa Bungeni kipindi ambacho unataka Sana huo ubunge .
Ila Makonda jinsi ulivyomfanyia Gambo utalipia that karma na wewe ni swala la Muda .