GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hizi ni jitihada tu za propaganda mfu (kujipa umuhimu ambao watu hawana) ili kuwashawishi wajumbe ionekane kama vile Makonda ana backup ya Samia ili wamuone kama vile ni pendekezo la chama.

Bi-Tozo kaweka msimamo wake wazi na adharani ajatuma mtu jimbo lolote au kwa njia nyingine yeyote ya kupewa ubunge.

Mbona raisi kaweka wazi yeye ana nafasi zake 10 za kuteua wabunge, anaemtaka atamuweka huko ndio maana Chalamila hakuchukua form.

Vinginevyo huko mtaani ni gombania goli, hakuna alietumwa na Samia wala CCM.

Hakuna mtu alietumwa na Samia, if anything vigogo wa sasa CCM wamezichoka tabia za Makonda.
Jidanganye
 
Jidanganye
Mna namna yenu ya kufikiria majina hayajaenda kamati kuu, Amos Makalla akatangaza rasmi waliopita kwenda wajumbe.

Nyie wenzetu mnajua tayari orodha itakayo tangazwa sasa unabishana vipi na mnajimu ambae kesho ona matokeo kupitia ‘crystal ball’.

Sisi wengine tunasibiri orodha ya Makalla kama authority source.
 
Alikuwa anashadadia vijana kujiajiri aje sasa huku Upoponi awe wa kwanza kutekeleza alichokuwa anashauri
 
Jidanganye
Ni hivi kama kuna dosari zitarekebishwa ni mfumo mpya lazima una mapungufu na wao huko CC wanajifunza.

Nitashangaa kama CCM itaruhusu wagombea waliomaliza muda wao kukatwa bila ya kufika kwa wajumbe.

Vinginevyo ‘bi-tozo’ atakuwa amenunua ugomvi mkubwa na baadhi ya CCM.
 
Back
Top Bottom