Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Fugisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to reap ur karmic debt .
Pole Sana , What you sow you shall reap.
Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya Ila lazima you will pay that debt .
Na wanakutoa Bungeni kipindi ambacho unataka Sana huo ubunge .
Ila Makonda jinsi ulivyomfanyia Gambo utalipia that karma na wewe ni swala la Muda .
Niwashauri tu Chadema , Warudi mezani sasa maana CCM wameshatepeta .
Gambo ni mpambanaji amefanyiwa Figisu nyingi .
Makonda hagai kuwa kiongozi .
Kosa kubwa 1atakalofanya wapinzani ni kumwacha Makonda kuwa Mbunge na kisha Waziri .
Mtakuwa mmempa shetani nguvu kubwa sana katika nchi hii.
Hii nchi itarudi katika zama za giza . Zama mbaya kama zile za kuchinza binadam kwa ajili ya kutoa kafara kwa miungu ya giza au shetani .
Makonda anaamini katika maendeleo yenye kutweza utu wa binadam kama walivyofanya wakoloni waarabu , wajerumani na wareno kabla ya kuja waingereza.
Makonda akipata uwaziri sio tu atawamaliza vijana wenzake ndani ya CCM lakni pia atawamaliza wapinzani maana atataka kushika dola . Ataivuruga sana nchi japo naye hatafika mbali lakni atakua ameyumbisha sana demokrasia na utawala bora . Ni mtu mwenye tamaa sana ya madaraka lakini ni chawa wnayeweza kutengeneza drama .
Arusha Makonda anakubalika kwa vijana wachache sana na watu wachache sana . Na wapinzania wakisusia uchaguzi watakua wamempa ushindi wa bure ambao kamwe asingeweza kuupata katika Jiji la Wachaga ,wameru ,Waitaq ,Wamasi ,Waarusha na wapare.
Hakuna mtu tofauti na makabila hayo atashinda kwa kura Arusha bila mkono wa dola.
Makabila hayo wanachagua kiomgozi sio Mtawala . Ni makabila wanaojitambua sana na wanaoweza kuleta maendeleo yao wenyewe sio makabila ombaomba na machawa wa kulamba watu viatu .
Makonda hawezi kupata kura. Hayo makabila ndiyo makabila yaliyoumizwa sana na siasa za Kibabe kuanzia wakoloni ,Nyerere,Magufuli na hata Kikwete alijaribu sana kumhujumu Regnaldi Mengi kwa kushirikiana na wahindi na waarabu kama akina Rostam ,Manji , Patel na matacoon wengine toka nje lakini walisimama imara sana kutokana na uwezo wao wa kiakili ,kibiashara lakni pia Imani yao kwa Mungu katika asili yake ya uumbaji .
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu inariki Tanganyika,Mungu inariki Arusha .Mungu iepushe Arusha na laana ya utekaji na mauaji ya siri siri yanayotokana na kuteka watu. Sasa mkuu wa giza anataka kupata nafsi katika ardhi na anga la Arusha .
Ni bora Gambo kuliko Makonda kwa usalama na uhai wa wa watu wa Arusha waliozoea kukosaa na kupinga mambo hadharani.
Arusha Mkimchagua Makonda mmekwisha .
Mtapoteza watu kila siku mpaka mbakiwe na Warangi waoga na wasambaa waoga .
Arusha ni ya watu majasiri katika siasa ,uchumi na hata mambo ya kijamii . Hata Wakristo na waislam wa Arusha hawapendi kuburuzwa kijinga kijinga bila kufuata sheria .
Ogopeni Kiongozi anayetaka kuwa mahakama . Ujue mtu huyo akihukumu mchana ili apigiwe makofi basi usiku anahukumu kukatwa mtu kichwa kama kwa maagizo ya mama herodia kwa Herode.
Asomaye na afahamu.