GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.
Mkuu kwani makonda alikuwemo ndani ya kikao cha wajumbe?, na hata kama hakuwepo kwani mtanange wa hapo kabla haukusemwa humu kwwmba ndg Gambo atumie kwa akili pesa zake?, na watu wakamwambia wazi hii ndiyo bye-byeee.

Au ndg Christian anakukera 😂.
Sabato njema.
 
Hivi hata picha huoni ndugu mbona ni rahisi sana kuelewa hii mambo! 😁

makonda ndo anatakiwa na system ya chama
Gambo hatakiwi kachokwa hasa na chama kwa tabia zake ambazo hazieleweki kwa wenzake wa chama na chama chenyewe kwa ujumla
 
Karma is bitch...!
 
Ata Chadema angeshiliki CCM wange force ushindi.
 
Siwezi kugombea madaraka kwa kumuumiza mwenza hasa kutokana na imani yangu ya kiislam inanikataza hivyo
 
Karma ya Gambo imejibu mapema sana, na huu ni mwanzo tu. Tutashuhudia karma nyingi sana kuelekea uchaguzi mkuu
 
Mbona akili zetu watanzania zinasahau mapema? Konyesha namna gani tena na kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na serikali za mitaa uliopita ni kihoro? Hivi hata CHADEMA wangekuwa wanashiriki unadhani Samia angekubali Makonda ashindane na mpinzani wa CHADEMA? Si wangeweka pingamizi na kutaka jina au wangeingiza kura bandia au kumtangaza Makonda kwa nguvu? Unataka uonyeshwe nini zaidi ili kukubali hakuna uchaguzi bali ni uhuni?
 
Nyerere, Mwinyi na Kikwete walimhujumu nini Mengi?
 
Provebs 26:27
Whoso diggeth a pit shall fall therein: and he that rolleth a stone, it will return upon him.

Simple English
Whoever digs a pit will fall into it, And he who rolls a stone will have it roll back on him.
 
T
Kwakweli !
 
Ni mambo ya ajabu tu.
Gambi ana kazu yake
Mk ana kazi yake mkoa huohuo.
Sasa inapokuja mtu anabwaga majukumu yake ili ashindane na aliyemkuta inafikirisha sana.
Mke wa Gambo navyojua ni Mwalimu je Gambo Ana Kazi gani ?ukiachana na Ubunge.
 
Gambo atembelee huko Kilwa tu hakuna namna ! 😄
Huu uonevu Kwakweli 🤣 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…