GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na bado unaamini katika siasa za demokrasia kwenye hii Dunia hasa kwenye michakato ya ndani ya vyama???
Nataka kujua Mchengerwa alisema nini kuhusu Gambo mpaka amehitimisha safari yake ya ubunge.
 
Pumbavu wewe achana na makonda alale na wapumbavu kama wewe mbele..


Licha ya kasoro za makonda ila ni Kiongozi

Kwa akili yako Makonda bila Vyombo vya dola anaweza kuongoza watu wenye akili timamu na maarifa ya kutosha na wabunifu wenye kutumia ujuzi na elimu yao kujenga nchi .?🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Makonda umaarufu wake ni ule wa Kamata weka ndani .
Msimamishe yule kazi .
Takukuru mchukueni yule muondoke naye .
Huo sio uongozi . Huo ni udikteta .

Makonda hana sifa ya uongozi katika nchi inayotumia mifumo ya kisheria na kidemokrasia .

Labda kama tumeamua kufuta vyama vyote vya isasa na kuongoza nchi kidikteta hapo atafaa sana maana nchi itaongizwa kijeshi na wote watalia kilio cha mbwa koko maana hata CCM watalia isipokua yeye na marafiki zake .

Hata Gambo alikua na nguvu na uwezo wa kutumia dola alipokua mkuu wa mkoa . Lakni alipopata ubunge na kubaki bila dola mkononi akawa hana nguvu ya kumweka mtu ndani zaidi ya kufokewa na kutishwa hadharani na mkuu wa mkoa na akawa anaufyata kwa sababu mkuu wa mkoa ana nguvu ya vyombo vya dola nyuma yake.

Makonda bila vyombo vya dola hana nguvu na uwezo kuongoza hata watoto wa bata .
 
Alipanda nini? Alimkataga nani Ili agombee?

Suala ni kwamba alikuwa anakalia upigaji wa pesa hapo Arusha wakati ni chimbo la wenye chama ndio maana wamemuondoa Ili mtu wao wa project ashinde.

Kule Kwa Mpina nae alipanda nini?

Huu ndio utaratibu ambao aliuanzisha Magufuli na mama anatumia kuweka watu wake,mlaumuni marehemu.
 
Acha kuwa kilaza vipi hukusikia kuhusu gwajimanization kule si ndo kuingilia mchakoto vipi kwa mpina luhaga
 
Acha upuuzi hakuna karma yyte kwenye siasa, jimbo si mali ya mtu yeyote wote waliopteza ubunge kabla yao hakuna aliyeachia mwenyewe ila kwa kushindwa kwenye kura.
 
Gambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .

Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.

Kwahiyo Gambo kapotezwa Mara moja
Amezidiwa mbinu amekutuma kuja kulialia humu?
 
Hakuna mtu mwenye mdomo wa karma kama lema yaani ukimfanyia ubaya lema akatoa kauli umeisha alianza kwa magufuli sasa ni kwa gambo.
 
Gambo akamnyang'anye figo yule diwani aliyemwaga machozi mbele ya DAB eti akimuomba msamaha kwakuwa walimchagua mbunge mbovu.
 
Gambo wajumbe wamemkata jina lake limekatwa ngazi ya wilaya kwahiyo harudi bungeni .

Makonda amemfanyia hujuma za kumuondoa Bungeni kupitia wajumbe.

Kwahiyo Gambo kapotezwa Mara moja
Anguko la Makonda litakuwa baya zaidi... Yaani Karne hii bado Arusha wanapewa mbunge kwenye majaladio?
 
Lioneni hili zombie
Mazombie wako CCM siku wakikabidhi nchi kwanza tunawanyang'anya viwanja vyote vya mpira mlivyovipora kwa wananchi na mtafia gerezani kila aliyewahi kuwa kiongozi wa CCM endeleeni hvyo hvyo kujifanya chura kiziwi.
 
Angalia wajumbe wenye bashasha,
Wamekuja wamevalia kijani,
Na khanga safi mabegani wameweka,
Kapero zao kichwani zinapendeza,
aeeeeeeeeh alo.
 
Hili ndio jibu sasa kwenda mleta mada
 
Angalia wajumbe wenye bashasha,
Wamekuja wamevalia kijani,
Na khanga safi mabegani wameweka,
Kapero zao kichwani zinapendeza,
aeeeeeeeeh alo.
 
Mwana kulifind mwana kuligaet, kile upandacho ndicho uvunacho, tusalimie tabora bwanamdogo. Ulijisahau sana ukadhani upo korogwe
 
Hajamfanyia figisu zozote Lema ni upepo umemkataa Arusha, mtu kakaa miaka yote bungeni haongelei kero za wananchi stendi mbovu, barabara za mitaa mbovu ye bungeni kazi yake kutupiana maneno na Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…