Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wewe ulikuwa mchongo wa ngapi au ndio ulikuwa ule wa ballistic,Airtel au wa tigoš¤Nadhani itakuwa kina mtu magereza anayemfanya apende kurudi huko Kila mara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuwa mchongo wa ngapi au ndio ulikuwa ule wa ballistic,Airtel au wa tigoš¤Nadhani itakuwa kina mtu magereza anayemfanya apende kurudi huko Kila mara.
Bosi Mbowe kesi bado anayo. Yaani ni kama ilivyokuwa kwa Sabaya tu. Sabaya walivyomuachia akasema ataitisha presa conference aseme yote, mhhhh nikajisemea moyoni huyu kaisha. Sasa mshaurini huyu Mwenyekiti wenu wa kikundi cha ngo ajitafakari
Hawawezi thubutu..kwa mashahidi wao ambao kila saa wanaomba kwenda chooni kuharishaKesi
Bado kudai katiba mpya Ni kosa la jinai?. Kwamba Mbowe akidai katiba mpya atafunguliwa upya kesi ya igaidi?.
Kesi ikishafutwa haiendelei, Bali DPP atatakiwa kufungua mashtaka tena. Itabidi aanze kesi upya. Halafu mahakama sio kama chooni unaingia na kutoka itabidi DPP aelezee ni kwa nini ameifungua kesi upya?. Kuna Jambo gani jipya ambalo ameliona kwenye kesi ya awali imewafanya aifungue upya.
Eti tufanye nchi isitawalike. Wee..!! Unaijua dola wewe!!??? Saivi hali shwari sijaona anayeweza kuleta fyokofyoko..!!
Hata Mimi mchunga ng'ombe was huku kazuramimba niliyebahatika kuliona darasa la tatu tu, na mshinda mtazamo kidato Cha SITA wa shule yetu ya kata pale mtaani kwetu. Akina chineembe na sautiyamnyongwa wa chama mbogamboga.Wapumbavu kama wewe nchi hii bado ni wengi! Wacha wenzako wapiganie haki wewe baki kulamba nyayo za hao unaowaabudu!
DPP ana uwezo wa kuendelea na kesi hata sasa hivi...! Msijidanganye...
Uzi mzuri wa kumfaa Mtani
Nadhani itakuwa kina mtu magereza anayemfanya apende kurudi huko Kila mara.
Ndio sasa uone maajabu ya ccm! Kumbe walikuwa na kesi nzuri hivi kabatin halafu wakatunga ile ya michongo! Daah! Maana hyo ya chacha kulikuwa na mtu amekufa kweli! Hii nyingine vituo vya mafuta vililipuliwa kwenye kidaftari cha "msomi"Hizi propaganda zenu za miaka 20 iliyopita kwanini hamtaki kuzi update?
Kama una ushahidi wa Mbowe kuhusika peleka polisi then muende nao mahakamani.
Yaani Mbowe alifunguliwa mashtaka ya ugaidi kwa vile anadai katiba mpya? Kweli ujinga nchi hii umekithiri.Kesi
Bado kudai katiba mpya Ni kosa la jinai?. Kwamba Mbowe akidai katiba mpya atafunguliwa upya kesi ya igaidi?.
Kesi ikishafutwa haiendelei, Bali DPP atatakiwa kufungua mashtaka tena. Itabidi aanze kesi upya. Halafu mahakama sio kama chooni unaingia na kutoka itabidi DPP aelezee ni kwa nini ameifungua kesi upya?. Kuna Jambo gani jipya ambalo ameliona kwenye kesi ya awali imewafanya aifungue upya.
Walikaa jela wakina mandela na bado maisha yakasongo, kuna mtu alikuwa jeuri na kiburi kama jiwe? Leo hii yuko wapi?Miezi 8 si haba. Lakini wako UAMSHO walikaa miaka 9. Kwa hiyo kama kuumia mtani hujawafikia UAMSHO.
Ningefurahi ukawaiga UAMSHO. Hakika wameonesha hekima kubwa toka waachiwe huru. Wamejirudi.
La muhimu ni namna walivyo "behave" walipoachiliwa. Hatukuwasikia wakituambia unayotuambia mtani. Unafikia hata kumuudhi aliyekusamehe! Kwamba hakuna aliyekuhurumia bali umetoka kwa nguvu ya umma? Really? Ipi? Ni nguvu ipi ya umma unafanya kazi kwenye kutoa watu jela lakini inashindwa kuzuia watu wasiende jela? Mtaniii?
Mtani ushakuwa mtu mzima na uzee ushabisha hodi. Haipendezi kila siku uwe wa vituo vya polisi, jela na mahakamani ! Mtani kuna marafiki wa kweli na kuna wapambe! Hebu tusikilize marafiki wa kweli.
Achana na siasa fanya biashara. Na kama siasa ndio biashara yako basi acha siasa za kibabe. Hazilipi kwa kuwa sifa ya ubabe ni sifa ya serikali zoote duniani. Hakuna chombo au mtu anaweza kuwa mbabe kuliko serikali.
Dai chochote kwa kistaarabu utaeleweka. Serikali kuiambia hupoi, mpaka kieleweke, una kiberiti, utafanya nchi iwe Libya, n. k. haifai. Serikali ina uwezo wa kufanya hicho kibiriti kikuchome mwenyewe! Serikali ina uwezo wa kufanya wƩwƩ peke yako uishi kama uko Libya!
Mtani hakuna sifa ya mtu kutembelewa na watu wengi gerezani, Sawa na mgonjwa ajisifie kutembelewa na watu wengi kitandani akiwa wodini It's an illusion! Haimfanyi awe mgonjwa bora kuliko wagonjwa wengine!
Mtani miaka inasonga hairudi nyuma. Na ukweli ni kuwa bado hauna hiyo "nguvu ya umma". Wenye nguvu ya umma hawakamatwi usiku, wakasafirishwa usiku, wakakaa ndani miezi 8 Huku wenzake wanachomudu ni kuvaa t-shirt zenye hukumu!
Sikupenda walichofanya UAMSHO lakini nimependa busara zao baada ya kuachiwa. Ukiziiga utakuwa salama. Ukifuata wapambe basi utatembelewa tena jela. Na hao wapambe watalala na kula makwao wewe ukilia njaa. Jela hakujawahi kuwa kuzuri hivyo sio mahali pakupenda kwenda.
Wenzako wanaokupa moyo Mtani kina Godbless Lema na Tundu Lissu wapo ughaibuni wanakula maisha na kuendesha shughuli zao huku wakilipwa madola kila mwezi. Usiwe mjinga, jua limezama shtuka!
Umelia kwa uchungu sana Mtani kila uliposimulia miezi yako 8 jela, itoshe kusema imekufunza. Ogopa mwanaume kulia kwa kiwango kile tena mbele ya umati akiwa na mke wake kando yake.
Anyway, akili ni nywele!
View attachment 2144111
magufuri seremaaaMiezi 8 si haba. Lakini wako UAMSHO walikaa miaka 9. Kwa hiyo kama kuumia mtani hujawafikia UAMSHO.

Kama ni kushukuru waliomwonea huruma angetangulia kumshukuru rais Samia ambaye pamoja na mahakama kumwona ana kesi ya kujibu aliamua kuingilia kati na kupitia DPP akaifuta kesi. Wa pili angekuwa shehe mkuu aliyetamka bila kupepesa macho na KUMWOMBA sio kushauri kwamba rais aifute kesi ya Mbowe na wenzake.Ana haki ya kuongea yote na kuwashukuru wote walionyesha utu kwake ni haki yake. Yule asiye na shukrani kwa walionyesha utu wakati wa shida huyo ni sawa na punda tu. Ni shetani tu anayefurahia shida ya mtu mwingine
Yaani hiyo kuachiwa kwa dpp kutokua na nia kuendeleza mashtaka anaweza kamatwa tena na kesi kuendelea ilipoishia.Miezi 8 si haba. Lakini wako UAMSHO walikaa miaka 9. Kwa hiyo kama kuumia mtani hujawafikia UAMSHO.
Ningefurahi ukawaiga UAMSHO. Hakika wameonesha hekima kubwa toka waachiwe huru. Wamejirudi.
La muhimu ni namna walivyo "behave" walipoachiliwa. Hatukuwasikia wakituambia unayotuambia mtani. Unafikia hata kumuudhi aliyekusamehe! Kwamba hakuna aliyekuhurumia bali umetoka kwa nguvu ya umma? Really? Ipi? Ni nguvu ipi ya umma unafanya kazi kwenye kutoa watu jela lakini inashindwa kuzuia watu wasiende jela? Mtaniii?
Mtani ushakuwa mtu mzima na uzee ushabisha hodi. Haipendezi kila siku uwe wa vituo vya polisi, jela na mahakamani ! Mtani kuna marafiki wa kweli na kuna wapambe! Hebu tusikilize marafiki wa kweli.
Achana na siasa fanya biashara. Na kama siasa ndio biashara yako basi acha siasa za kibabe. Hazilipi kwa kuwa sifa ya ubabe ni sifa ya serikali zoote duniani. Hakuna chombo au mtu anaweza kuwa mbabe kuliko serikali.
Dai chochote kwa kistaarabu utaeleweka. Serikali kuiambia hupoi, mpaka kieleweke, una kiberiti, utafanya nchi iwe Libya, n. k. haifai. Serikali ina uwezo wa kufanya hicho kibiriti kikuchome mwenyewe! Serikali ina uwezo wa kufanya wƩwƩ peke yako uishi kama uko Libya!
Mtani hakuna sifa ya mtu kutembelewa na watu wengi gerezani, Sawa na mgonjwa ajisifie kutembelewa na watu wengi kitandani akiwa wodini It's an illusion! Haimfanyi awe mgonjwa bora kuliko wagonjwa wengine!
Mtani miaka inasonga hairudi nyuma. Na ukweli ni kuwa bado hauna hiyo "nguvu ya umma". Wenye nguvu ya umma hawakamatwi usiku, wakasafirishwa usiku, wakakaa ndani miezi 8 Huku wenzake wanachomudu ni kuvaa t-shirt zenye hukumu!
Sikupenda walichofanya UAMSHO lakini nimependa busara zao baada ya kuachiwa. Ukiziiga utakuwa salama. Ukifuata wapambe basi utatembelewa tena jela. Na hao wapambe watalala na kula makwao wewe ukilia njaa. Jela hakujawahi kuwa kuzuri hivyo sio mahali pakupenda kwenda.
Wenzako wanaokupa moyo Mtani kina Godbless Lema na Tundu Lissu wapo ughaibuni wanakula maisha na kuendesha shughuli zao huku wakilipwa madola kila mwezi. Usiwe mjinga, jua limezama shtuka!
Umelia kwa uchungu sana Mtani kila uliposimulia miezi yako 8 jela, itoshe kusema imekufunza. Ogopa mwanaume kulia kwa kiwango kile tena mbele ya umati akiwa na mke wake kando yake.
Anyway, akili ni nywele!
View attachment 2144111
Uamsho? Hujui nyuma yake nyamaza kimya.Miezi 8 si haba. Lakini wako UAMSHO walikaa miaka 9. Kwa hiyo kama kuumia mtani hujawafikia UAMSHO.

Hujui sheria, DPP atasema anaonesha nia ya kuendelea na kesiKesi
Bado kudai katiba mpya Ni kosa la jinai?. Kwamba Mbowe akidai katiba mpya atafunguliwa upya kesi ya igaidi?.
Kesi ikishafutwa haiendelei, Bali DPP atatakiwa kufungua mashtaka tena. Itabidi aanze kesi upya. Halafu mahakama sio kama chooni unaingia na kutoka itabidi DPP aelezee ni kwa nini ameifungua kesi upya?. Kuna Jambo gani jipya ambalo ameliona kwenye kesi ya awali imewafanya aifungue upya.
aise?hata mimi nataka nimpinge tu huyu jamaa lakini sina hoja,hebu weka hoja timpinge pamoja bhana,haiwezekani jamaa liongee kwa hoja hivi halafu tumpinge bila kuweka hata hoja za kuzugia!Kwanza, napinga yote uliyoandika!
Pili, AKILI si nywele! Wengi wana nywele lakini hamnazo!
Akikujibu NitagNa wao uamsho waliitwa Ikulu?
Hoja ya kwanza... huwezi kulinganisha Uamsho na Mbowe.aisee
aise?hata mimi nataka nimpinge tu huyu jamaa lakini sina hoja,hebu weka hoja timpinge pamoja bhana,haiwezekani jamaa liongee kwa hoja hivi halafu tumpinge bila kuweka hata hoja za kuzugia!