Pole sana Seth, Tulikuonya hukusikia


- Sio kweli dogo hana ubavu wa kuwa adui kama adui ni adui to yeye mwenyewe, well haina nipo matayarishoni kufanya White Party mwisho wa mwezi ujao so stay tuned si unajua huwa ninakusanya Wasanii na bendi nyingi, so stay tuned!!

Le Mutuz
 
Nakumbuka ulikuwa kwenye masuala hayo ya IG party na mara sikukusikia tena nikawa namsikia zaidi bikira...

Anyway, sasa nami kuna masuala napenda nikushirikishe. Najua wewe ni mtu wa connections, so unahusika. Nami nahitaji sana connections fulani fulani ambazo nawe hopefully zitakubamba, you know...
 

- Tuliungana na kufanya Instagram Party ya kwanza Mikochen, MWanza, Mbeya, Iringa na Dodoma na Dar tena nikaamua kwenda on my own na All White Party kwa sababu hii ni shughuli ninaifanya all my life toka sijaondoka bongo na mpaka nilipokuwa US, so matamasha ni kipaji huwezi kulazimisha, otheriwse nitafute njoo ofisini kwangu hapa downtown tupange mipango I am always open to new ideas!!

Le Mutuz
 
Thats cool...! Hamna shaka, nitakutafuta siku hizi za karibuni tu.
 

yaani wewe huwa sikuelewagi aisee.sasa kukwambia ukweli ndo uniblock insta?ulitaka nikusifie unafki sio?
 

binti unajua kujipendekeza........hongera
 
still tunampenda bikira wa kisukuma amefanya mengi kafungua akili mgando za watu jaman ebu mumuache seth jaman khaaaa
 
"It is a very unfortunate moment for
all that We had to take such a hard
decision to announce the termination
of our employee Mr. Seth Katende
(Bikira wa kisukuma) from the
position of head of Marketing
department."

Umhhhhh ..bikira wa wapi ??
 
I know... wengi wao ndo hivyo tena, wengi wao ni chakula pendwa cha mafirauni! Lakini anyway, ana haki ya kujichagulia jina limfaalo kwa tafsiri yoyote! Tatizo ni sie wenye asili ya ufukweni yaani tupo very sensitive!!
Tena mpwanipwani miye hilo jina nikiliona inanikumbusha ileisiyoguswa ya mwari!mbona anatuita huyu?
 
Kwenye red ndio Sasa nimepata jawabu kwa nini watu wanakushambulia bila sababu za msingi na wewe huwa unawachukulia poa with big smile wraped in kicheko! big up and keep it up ! mambo na watu ukikera watu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…