Pole sana Seth, Tulikuonya hukusikia

Pole sana Seth, Tulikuonya hukusikia

PERFECT

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
361
Reaction score
131
#Repost instagrampartytz
・・・
It is a very unfortunate moment for all that We had to take such a hard decision to announce the termination of our employee Mr. Seth Katende(Bikira wa kisukuma) from the position of head of Marketing department.

Due to the negligence towards work and negative approach to handle the situations, he has been terminated after giving several warnings.

Mr. Katende(Bikira wa kisukuma) has been with Instagramparty Tz/Freconic Ideaz Co Ltd since July last year. He was given repeated warnings to change his attitude and ego . The termination has been done with all the prior major discussions.

We just want to inform everyone working with us, that Instagramparty Tz/Freconic Ideaz Co Ltd respects the sincerity towards work and that is what we are working for. Any action violating our company’s beliefs and policies will not be tolerated and such immediate actions will be taken.

We at Instagramparty Tz/Freconic Ideaz Co Ltd want to act as one team, working towards the organisational goals so that we can achieve individual goals. We just hope that the best to come from everyone of us, not otherwise.

Following this, we are hereby advise general public, our partners and sponsors not to communicate any further with Mr. Seth Katende (bikira wa kisukuma) regarding matters which are confidential or proprietary to Freconic Ideaz/Instagramparty Tz
Mr Seth Katende responsibilities have been assumed by Gillsaint Mlaseko

Please contact Instagrampartytz@gmail.com for any enquiries.

My Take
Nyie wote ni vijana kaeni mzungumze tena muwe wawili tu.
 
Last edited by a moderator:
mnh! Haya lakini kwangu bado kabisa... kwanini asingetafuta namna ya kujinasibisha na uanaume?? Mathalani, angejiita Designer Kidume Cha Mbegu... hapa huenda angevutia dadaz lakini bikira... walah atakuwa anawavutia mafirauni!

Ila si unajua fashion desgners wengi wako mbali na uanaume?

Labda ts a matter of time, he ll come out of the closet....
 
"It is a very unfortunate moment for
all that We had to take such a hard
decision to announce the termination
of our employee Mr. Seth Katende
(Bikira wa kisukuma) from the
position of head of Marketing
department."
 
Ila si unajua fashion desgners wengi wako mbali na uanaume?

Labda ts a matter of time, he ll come out of the closet....
I know... wengi wao ndo hivyo tena, wengi wao ni chakula pendwa cha mafirauni! Lakini anyway, ana haki ya kujichagulia jina limfaalo kwa tafsiri yoyote! Tatizo ni sie wenye asili ya ufukweni yaani tupo very sensitive!!
 
Mi ningkuwa Seth ndo kwanzaa naanzisha kampuni yangu na kuandaa events zangu. Wala asiwalambe makalio, kwa mtonyo gani? Ashajulikana mjiniii ndo la muhimu. Ile kishkwambi kama mimindo Seth kabla ya pasaka nashusha kitu cha nguvuuuu Wenyewe Instagram party Seth anaanzisha Instagram bata day. MJINI MIPANGO.
 
Kujulikana ni kitu kimoja na kuwa na connection ni kitu kingine! Kujulikana sawa, anajulikana, je connection anazo?
 
Kujulikana ni kitu kimoja na kuwa na connection ni kitu kingine! Kujulikana sawa, anajulikana, je connection anazo?

Unajulikana ili upate connections. Maadamu keshajulikana connection sio issue. Unaenda tu kwenye makampuni unasema bwana mie flani niliandaa party flani unaondoka na mpungaa wako.
 
who is this ,ni mwanamke au mwanaume mbona sijaelewa kitu
 
JAmaa niliona tangu awali anazingua kwenye post zake nikaamua kuji unfollow mwenyewe. Ana mtaji wa followers so autumie kwa kuwa anaamini ana wingi wa ideaz
 
Unajulikana ili upate connections. Maadamu keshajulikana connection sio issue. Unaenda tu kwenye makampuni unasema bwana mie flani niliandaa party flani unaondoka na mpungaa wako.
mnh! We lara 1, mambo yangekuwa rahisi kiasi hicho hapa mjini nani angeshindwa kuwa mtu wa shughuli? It's true kwamba kujulikana nako ni one step forward towards kupata connections lakini connection nyingi za mjini ni zaidi ya kujulikana! Ingekuwa kujulikana ndio kila kitu Juma Nature na Wanaume Halisi yake wasingeshindwa na fitina za Said Fella! Unakuta wewe mtu umefahamiana nae ukubwani mwenzako hawakukutana barabarani kama JK na EL!!!
 
Ndo UJULIKANE KWANZAAAAA. We unafikiri kwanini watu wanapiga picha za chiu ili wajulikane? Wameshindwa sababu Fella anajulikana zaidi yao kwenye marketing Industry. Unaweza kuwa unajulikana sanaa lakini na wahuni. Mi nakwambia ukijulikana ni kama umefikia 8 ya 10 kwnye kupata connections.
 
Nakubali mia kwa mia kwamba kujulikana ni one step forward katika kupata connections lakini kuna mambo mengine ya msingi zaidi unatakiwa kuwa nayo! Back up team ina mchango mkubwa zaidi kuliko huko kujulikana! Na kama unajulikana juu juu tu... unaweza kukuta ni kweli michongo unapata lakini over 90% unarudisha kule kule kwa wale wale waliokupa mchongo coz' umefahamiana nao ukubwani kwahiyo hawakuonei aibu na wala hauna back up team ya wao kuweza kuionea aibu ambayo labda kinyume chake huenda mngeenda pasu kwa pasu... au labda, uwe na uwezo wa ku-generate more than too much to the point kwamba, hata kama utabaki na 5% bado ina uwezo wa kunenepesha account!

But all in all, ikiwa ana uthubutu wa kutosha, nothing is impossible! Marehemu Profesa Shayo (RIP) aliwahi kupiga kampeni za kuwania Urais wa JMT kwa kutumia Mark II yake utafikiri alikuwa anatangaza ujio wa sabuni mpya mjini!!!!!
 
Back
Top Bottom