Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
- Thread starter
- #21
umenena kweli tupu mkuu!Ana IT expert ambaye anaweza kuwa ni member wa JF hivyo atamfikishia tu ujumbe huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenena kweli tupu mkuu!Ana IT expert ambaye anaweza kuwa ni member wa JF hivyo atamfikishia tu ujumbe huu
kilichojificha hakijadiliwi,,,,....bali kionekanacho,,Mbona kuna watabiri wengi hatujadili utabiri wao, kwanini yeye tu ndo anapewa coverage kubwa sana tena front page , kuna mawili hao wanaompa coverage nao ni washirikina au ndo kazi ya usalama kutufanya kujadili uchawi na kuacha mambo mengi sana ambyo ni consructive na productive,tusijadili utabiri wake, tujadili KWANINI tunajadili utabiri wake ndo tutapata jibu muafaka.
utabiri tu bana hana lolote. hard disk yake ilikwisha kufa siku nyingi, na atashije mjini pasi kuwadanganya na kuwatia hofu wasomi ili apate chakula yake na familia?
mwogopeni yule ajifanyayeUgali unatafutwa kwa njia mbalimbali, anajitahidi naye ili ale.
itabidi watusamehe tu, wasoma nyota ni hatari kwa jamiilakini ni shehe wa waislamu jamani, tusije kuwa tunawakwaza jamaa zetu
he we Saitama mbona kicheko tena?Haahaaa....tehe teeeeh!!
Ndio maana tunasema kuwa ni fimbo ya kuwachapia Waislamu!lakini ni shehe wa waislamu jamani, tusije kuwa tunawakwaza jamaa zetu
kuna kila sababu ya kuuchunguza uislamu kwanza kabla hatujaanza kumshambulia yahya kama nu kweli anaupakaSheikh Yahaya hebu usiupake matope uislamu.
kuna kila sababu ya kuuchunguza uislamu kwanza kabla hatujaanza kumshambulia yahya kama nu kweli anaupaka
matope ama, laikini nijuacho mimi uislamu ueandaa aya nyuingi
zitumiwa kama albadili kuwadhuru watu, sasa hapa ninahitaji kueleweshwa kidogo kwa upande huu, hasa ukizingiti
Mfano maadili ya Bilblia ni kuwasamehe na kuwaombea wanaotuudhi, sasa huo wa kusoma albadili siyo ushirikana?