Pole zinaenda kwa Samia peke yake, Je, Wake wenza hawajafiwa? Ubaguzi umezidi hadi msibani

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nimeona taasisi za Serikali zinatoa Pole kwa mke mdogo wa Hafidh tu. Je, Mke wa Kwanza ni kwamba hajafiwa au?

Kufa au kifiwa hakina cheo.

Taasisi zingesema pole kwa Wajane, Watoto na Familia ya Hafidh Hassan.

Lakini haya ya kumpa pole Mzanzibari Samia Suluhu Hassan pekee ni pole za kinafiki. Wengine wanatoa pole kulinda vyeo vyao.

Kwamba mtu akiwa kiongozi CCM ndo anafiwa tu?
IMG-20260909-WA0002.jpg

IMG-20260908-WA0005(1).jpg
1003312769.jpg
 
Mkuu kwani wewe umemhani yupi mkubwa au mdogo!
 
Loh! This is too much sasa. Mhe. Samia ni Rais, ni national and international figure. Ni wangapi wanawafahamu hao wengine?

Hao watapewa pole na ndugu, jamaa na marafiki wanaowafahamu. Mhe. Rais atapewa pole na wanaomfahamu - basically dunia!
 
Unaweza kuona aliyeandika hizi pumba ana familia kabisa....ila sisi wabongo bwana.

Maisha ya watu yanakuhusu nini na kwanini uwapangie watu chakufanya kwani wewe umekatazwa ? Achaga ujinga
 
Nimeona taasisi za Serikali zinatoa Pole kwa mke mdogo wa Hafidh tu. Je, Mke wa Kwanza ni kwamba hajafiwa au?

Kufa au kifiwa hakina cheo.

Taasisi zingesema pole kwa Wajane, Watoto na Familia ya Hafidh Hassan.

Lakini haya ya kumpa pole Mzanzibari Samia Suluhu Hassan pekee ni pole za kinafiki. Wengine wanatoa pole kulinda vyeo vyao.

Kwamba mtu akiwa kiongozi CCM ndo anafiwa tu?
View attachment 3666898
View attachment 3666899View attachment 3666903
Ni kawaida sn. Hata wewe ukifiwa na Babako usitegemee watoto wa Marehemu wote mtapewa pole sawa kwa sawa
 
Usahihi ni kwamba social statuses zinatutofautisha; hatuwezi kuwa sawa hata kama ni kwenye misiba. Hiyo ni kanuni ya asili isiyohojiwa kwa namna yoyote.
 
Loh! This is too much sasa. Mhe. Samia ni Rais,
Kwahiyo kifo kinachagua rais na asiye rais? Kwamba mtu akifiwa kama sio rais asipewe pole? Una akili timamu?
 
... kwamba hao wengine hawajapewa pole? Ulitaka wakuletee taarifa za kupewa kwao pole?
 
Usahihi ni kwamba social statuses zinatutofautisha; hatuwezi kuwa sawa hata kama ni kwenye misiba. Hiyo ni kanuni ya asili isiyohojiwa kwa namna yoyote.
Sio kanuni ya asili, ni mfumo wa maisha wa kijamii binadamu waliojitengenezea.
 
"Mfumo wa maisha!". Ulitungwa na nani? Nani alisimamia hayo matengenezo? Nobody; ulijitengeneza wenyewe naturally.
 
Mfumo wa maisha wa kuheshimu zaidi matajiri na watawala umetengenezwa na wanadamu kupitia njia mbalimbali ambazo ni pamoja na matajiri na watawala kutumia mali zao au vyeo vyao kuwa ndio waamuzi wa haki na fursa katika jamii. Dini pia zimetumika kuwaheshimisha watawala na matajiri kwa njia mbalimbali.
 
As long as hapakuwa na formal process ya kuutengeneza means umetokea tu wenyewe. No one to be credited nor blamed.
 
Unahitaji kuelewa sekta isiyo rasmi/ biashara zisizo rasmi haimaanishi zimetokea zenyewe tu.
 
Back
Top Bottom