figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ni kawaida sn. Hata wewe ukifiwa na Babako usitegemee watoto wa Marehemu wote mtapewa pole sawa kwa sawaNimeona taasisi za Serikali zinatoa Pole kwa mke mdogo wa Hafidh tu. Je, Mke wa Kwanza ni kwamba hajafiwa au?
Kufa au kifiwa hakina cheo.
Taasisi zingesema pole kwa Wajane, Watoto na Familia ya Hafidh Hassan.
Lakini haya ya kumpa pole Mzanzibari Samia Suluhu Hassan pekee ni pole za kinafiki. Wengine wanatoa pole kulinda vyeo vyao.
Kwamba mtu akiwa kiongozi CCM ndo anafiwa tu?
View attachment 3666898
View attachment 3666899View attachment 3666903
Usahihi ni kwamba social statuses zinatutofautisha; hatuwezi kuwa sawa hata kama ni kwenye misiba. Hiyo ni kanuni ya asili isiyohojiwa kwa namna yoyote.Ni kawaida sn. Hata wewe ukifiwa na Babako usitegemee watoto wa Marehemu wote mtapewa pole sawa kwa sawa
Kwahiyo kifo kinachagua rais na asiye rais? Kwamba mtu akifiwa kama sio rais asipewe pole? Una akili timamu?Loh! This is too much sasa. Mhe. Samia ni Rais,
Kifo ni kifo bhn pole za Nini! Hao machawa tu.
... kwamba hao wengine hawajapewa pole? Ulitaka wakuletee taarifa za kupewa kwao pole?Kwahiyo kifo kinachagua rais na asiye rais? Kwamba mtu akifiwa kama sio rais asipewe pole? Una akili timamu?
Sio kanuni ya asili, ni mfumo wa maisha wa kijamii binadamu waliojitengenezea.Usahihi ni kwamba social statuses zinatutofautisha; hatuwezi kuwa sawa hata kama ni kwenye misiba. Hiyo ni kanuni ya asili isiyohojiwa kwa namna yoyote.
"Mfumo wa maisha!". Ulitungwa na nani? Nani alisimamia hayo matengenezo? Nobody; ulijitengeneza wenyewe naturally.Sio kanuni ya asili, ni mfumo wa maisha wa kijamii binadamu waliojitengenezea.
Mfumo wa maisha wa kuheshimu zaidi matajiri na watawala umetengenezwa na wanadamu kupitia njia mbalimbali ambazo ni pamoja na matajiri na watawala kutumia mali zao au vyeo vyao kuwa ndio waamuzi wa haki na fursa katika jamii. Dini pia zimetumika kuwaheshimisha watawala na matajiri kwa njia mbalimbali."Mfumo wa maisha!". Ulitungwa na nani? Nani alisimamia hayo matengenezo? Nobody; ulijitengeneza wenyewe naturally.
As long as hapakuwa na formal process ya kuutengeneza means umetokea tu wenyewe. No one to be credited nor blamed.Mfumo wa maisha wa kuheshimu zaidi matajiri na watawala umetengenezwa na wanadamu kupitia njia mbalimbali ambazo ni pamoja na matajiri na watawala kutumia mali zao au vyeo vyao kuwa ndio waamuzi wa haki na fursa katika jamii. Dini pia zimetumika kuwaheshimisha watawala na matajiri kwa njia mbalimbali.
Unahitaji kuelewa sekta isiyo rasmi/ biashara zisizo rasmi haimaanishi zimetokea zenyewe tu.As long as hapakuwa na formal process ya kuutengeneza means umetokea tu wenyewe. No one to be credited nor blamed.