Pole Zuchu mafanikio huambatana na chuki

Hongera yako wewe utaeenda peponi
 
Hongera yako wewe utaeenda peponi

Sema "al hamdu liLlah nimepata mtu wa kunipa nasaha, hakika ndugu yangu Zuhra Masoud pia nitampa mawaidha"

Ayat 32 from Surah Al-Anam
ļ“æŁˆŁŽŁ…ŁŽŲ§ Ų§Ł„Ł’Ų­ŁŽŁŠŁŽŲ§Ų©Ł Ų§Ł„ŲÆŁ‘ŁŁ†Ł’ŁŠŁŽŲ§ Ų„ŁŁ„Ł‘ŁŽŲ§ Ł„ŁŽŲ¹ŁŲØŁŒ ŁˆŁŽŁ„ŁŽŁ‡Ł’ŁˆŁŒ Ū– ŁˆŁŽŁ„ŁŽŁ„ŲÆŁ‘ŁŽŲ§Ų±Ł Ų§Ł„Ł’Ų¢Ų®ŁŲ±ŁŽŲ©Ł Ų®ŁŽŁŠŁ’Ų±ŁŒ Ł„Ł‘ŁŁ„Ł‘ŁŽŲ°ŁŁŠŁ†ŁŽ ŁŠŁŽŲŖŁ‘ŁŽŁ‚ŁŁˆŁ†ŁŽ Ū— Ų£ŁŽŁŁŽŁ„ŁŽŲ§ ŲŖŁŽŲ¹Ł’Ł‚ŁŁ„ŁŁˆŁ†ŁŽļ“¾
[ الأنعام: 32]

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?​


Swahili Translation - Al-Barwani​

English - Sahih International​

And the worldly life is not but amusement and diversion; but the home of the Hereafter is best for those who fear Allah, so will you not reason?

Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?

Na huo uhai wa duniani walio uona makafiri kuwa ndio uhai wa pekee, na ambao hawaukusudii kwa kufanya vitendo vya kumridhi Mwenyezi Mungu, uhai huo si chochote ila ni mchezo usio kuwa na manufaa, na pumbao la kujipumbazia tu!! Na hakika nyumba ya Akhera ndio khasa uhai wa kweli. Huo unawanufaisha zaidi wale wanao mwogopa Mwenyezi Mungu na wanazifuata amri zake. Basi hamtii akilini jambo hili lilio wazi? Hivyo hamfahamu linalo kudhuruni na linalo kufaeni?
 
Mafanikio gani? Kuimba na kutojistiri ndio mafanikio hayo! Mnazidi kumpoteza tu
mafanikio kwenye career yake, wewe uliyejistiri umegundua nin hapa dunian?
Acha afanye kazi hiyo ndio kazi yake, kwani twanga pepeta wale wanawake waliokuwa wanaaacha vitovu wazi walikuwa wanajisitiri?
Kaa hivo hivo, Zuchu ni msanii mkubwa afrika na duniani, zanzibar hakuna soko kule, anaendaga sababu ni nyumban tu ila hakuna athari yoyote, wale wazee wa kule wengi wanawaza ngono tu, mtu kasema hata mumpe mku nyinyi mshaleta tafsiri zenu za kijinga
Mtakufa maskin binti zuhura anapiga kazi.
 

Kama wewe ni Muislamu utaelewa madhara yake, lakini kama wewe ni upande wa pili huwezi nielewa.
 
Kama wewe ni Muislamu utaelewa madhara yake, lakini kama wewe ni upande wa pili huwezi nielewa.
mimi ni muislamu ninayejielewa nikiambiwa kitu ninakifikiria kuliko kupokea tu.
Ulitaka tukaimbe kaswida wote? Wacha ujinga Zuchu kipaji chake kinasaidia watu wengi. Wanaishi kupitia kipaji chake, Hicho ni kipaji kampatia mwenyezi mungu.
Huwez kumuelewa Zuchu
 
Hawajifunzi kwakuwa Wazazi wao ndio waimba taarab za Chama.
Hawajifunzi kwakuwa ndio washehereshaji wa shughuli za chama.
Hawajifunzi kwakuwa wamoa kwenye chama , wamezaa na wanachama.
Hawajifunzi kwakuwa wamezaa na baadhi ya watu kwenye chama.
 
Hawajifunzi kwakuwa Wazazi wao ndio waimba taarab za Chama.
Hawajifunzi kwakuwa ndio washehereshaji wa sgughuli za chama.
Hawajifunzi kwakuwa wamoa kwenye chama .
Hawajifunzi kwakuwa wamezaa na baadhi ya watuk kwenye chama.
Hahaha.................hakuna wa kumtoa kibanzi machoni😜
 
Na tukiacha chuki ZUCHU ndo msanii Bora wa kike wa kizazi hiki Hapa Afrika mashariki
 


Your browser is not able to display this video.
 
Tuungane pamoja wenza wa mawaziri na wabunge wapate mafao, hawa wana jukumu kubwa sana la kuwalea viongozi wetu.
Hao imeshapitishwa, hivyo imebaki utekelezaji tu kuanzia Mwezi Kikao, 2024
 

Sasa, Unadai wewe ni Muislamu unaejielewa halafu hapo hapo unasapoti maovu, Allah ameharamisha miziki.
 
Walsham wa Pwani ya Afrika Mashariki ni wanaafiki sana. Msibishe, tunaishi na nyinyi tunawafahamu vizuri. Uislam wenu upo kwenye kuwahukumu watu wengine tu lakini amuonekani misikitini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…