Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Aliyeandika mwenyewe mpumbavu kama Zuchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera yako wewe utaeenda peponiAcha kudhania
Wewe kama ni ndugu yake, basi mpe mawaidha, aachane na hayo manyimbo yatamuingiza Jahannam, unavyozidi kuunga mkono hayo madhambi ayafanyayo basi utabeba dhimma kubwa, Allah akitujaalia Ramadhan itakua jumatatu, je! Mmejiandaaje na mfungo wa Ramadhan!
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا ۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ﴿١٢﴾
Enyi walioamini! Jieupusheni sana na dhana kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi. Na wala msifanyiane ujasusi, na wala wasisengenyane baadhi yenu wengineo. Je, anapenda mmoja wenu kwamba ale nyama ya nduguye aliyekufa? Basi mmelichukia hilo! Na mcheni Allaah! Hakika Allaah ni Mwingi wa kupokea tawbah, Mwenye kurehemu. [Al-Hujuraat (59: 12)]
Hongera yako wewe utaeenda peponi
zuchu msanii mkubwa, Zanzibar hakuna wanachojua sio mziki wala mpira,
Hakuna athari yoyote ,zuchu aendelee kupiga kazi mafanikio mengi yanakuja
mafanikio kwenye career yake, wewe uliyejistiri umegundua nin hapa dunian?Mafanikio gani? Kuimba na kutojistiri ndio mafanikio hayo! Mnazidi kumpoteza tu
mafanikio kwenye career yake, wewe uliyejistiri umegundua nin hapa dunian?
Acha afanye kazi hiyo ndio kazi yake, kwani twanga pepeta wale wanawake waliokuwa wanaaacha vitovu wazi walikuwa wanajisitiri?
Kaa hivo hivo, Zuchu ni msanii mkubwa afrika na duniani, zanzibar hakuna soko kule, anaendaga sababu ni nyumban tu ila hakuna athari yoyote, wale wazee wa kule wengi wanawaza ngono tu, mtu kasema hata mumpe mku nyinyi mshaleta tafsiri zenu za kijinga
Mtakufa maskin binti zuhura anapiga kazi.
mimi ni muislamu ninayejielewa nikiambiwa kitu ninakifikiria kuliko kupokea tu.Kama wewe ni Muislamu utaelewa madhara yake, lakini kama wewe ni upande wa pili huwezi nielewa.
Tena ndo kwaanza anavuta shukaKanywe chai kwanza urudi baadae zuchu hajaamka bado
Hawajifunzi kwakuwa Wazazi wao ndio waimba taarab za Chama.Kwani miaka ile Ray C yupo Juu kimuziki uliwahi kusikia akifungiwa Kwa kuimba matusi?
Hawa mabinti na Vijana wa kisasa wajifunze Kwa Wenzao wa miaka ya 2000 kuja 2010, mbona wenzao waliweza kuimba na kujizolea umaarufu pasipo kuimba matusi?
Mmewahi kumsikia Lady Jaydee akiimba matusi?
Ana miaka zaidi ya 25 kwenye Muziki lakini hajawahi kuimba hayo matusi.
Hahaha.................hakuna wa kumtoa kibanzi machoni😜Hawajifunzi kwakuwa Wazazi wao ndio waimba taarab za Chama.
Hawajifunzi kwakuwa ndio washehereshaji wa sgughuli za chama.
Hawajifunzi kwakuwa wamoa kwenye chama .
Hawajifunzi kwakuwa wamezaa na baadhi ya watuk kwenye chama.
Tuungane pamoja wenza wa mawaziri na wabunge wapate mafao, hawa wana jukumu kubwa sana la kuwalea viongozi wetu.Hahaha.................hakuna wa kumtoa kibanzi machoni😜
Na tukiacha chuki ZUCHU ndo msanii Bora wa kike wa kizazi hiki Hapa Afrika masharikimimi ni muislamu ninayejielewa nikiambiwa kitu ninakifikiria kuliko kupokea tu.
Ulitaka tukaimbe kaswida wote? Wacha ujinga Zuchu kipaji chake kinasaidia watu wengi. Wanaishi kupitia kipaji chake, Hicho ni kipaji kampatia mwenyezi mungu.
Huwez kumuelewa Zuchu
Hao imeshapitishwa, hivyo imebaki utekelezaji tu kuanzia Mwezi Kikao, 2024Tuungane pamoja wenza wa mawaziri na wabunge wapate mafao, hawa wana jukumu kubwa sana la kuwalea viongozi wetu.
mimi ni muislamu ninayejielewa nikiambiwa kitu ninakifikiria kuliko kupokea tu.
Ulitaka tukaimbe kaswida wote? Wacha ujinga Zuchu kipaji chake kinasaidia watu wengi. Wanaishi kupitia kipaji chake, Hicho ni kipaji kampatia mwenyezi mungu.
Huwez kumuelewa Zuchu