Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA

Muda sio mrefu tutaambiwa South Africa ni nchi ya mabeberu inashirikiana na Kenya kuliua shirika la ndege la Tanzania!!

Halafu juzi tu, rais wa South Africa alikuwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC, akaisifia mnoo Tanzania na Magufuli akampongeza sana kwa kuweza kuifanya South Africa kuwa nchi rafiki na Tanzania. Sasa hichi kimbembe cha kukamatwa ndege ya Tanzania ndio kinadhihirisha wazi kuwa diplomasia ya siasa za kiafrika ni unafiki, unafiki, unafiki, unafiki, unafiki.....
 
Lipeni zaidi 9.5B mnayodaiwa na SAA
 
Lipeni madeni achani ufala....,
 
Hana jeuri ya kuiingilia mahakama kama jiwe
 
Biashara haina undugu na SA ni nchi inayoendeshwa kikatiba. Mr Rama hana power ya kuamuru ndege iondoke kisa Jiwe mshkaji
 
HAhaha "RAMASOFA" hausiki kwakuwa ANKALI ni mtaalamu wa "KUTREPU" simu ashajua nani aliyewaambia SAA kwamba ndege yetu ipo OLIVA TAMBO wakaikamate.
 
Kila Nchi na sheria zake isitoshe ATCL ndo kwanza imeanza safari ya S.A labda kuna mambo walikua hawajakamilisha ndio maana wakachukua sheria hiyo mbona hata cc kuna kipindi first jet tuliwachachafya
 
Hata mwezi wa pili bado haujaisha and already wanashindwa kulipa parking fee. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana, Tanzania kuna ma-snitches ambao wanapigana kusabotage nchi yetu, sleeping with the enemy basically.
Naipenda sana Tanzania ila hawa watawala wanazingua sana. Wanafanya vitu kwa ujinga hadi inafikia wakifeli tunafurahia. Wanatuona sisi kama sio watu. Wangekuwa na uwezo wangetuua wote ili wabaki wao wafanye watakalo
 
Naipenda sana Tanzania ila hawa watawala wanazingua sana. Wanafanya vitu kwa ujinga hadi inafikia wakifeli tunafurahia. Wanatuona sisi kama sio watu. Wangekuwa na uwezo wangetuua wote ili wabaki wao wafanye watakalo


Hata mimi ningekuwa na uwezo ningewauwa wote ma-snitches, tutalipa kama tunadaiwa na tutasonga mbele, baby wetu ataendelea kutua AK!
 
Reactions: Oii
Nimeskia ya kwamba ndege yenu iliyokuwa imeenda SA imekamatwa. Naona hawa watu ambao nyie hudai kuwa mliwakomboa hawana shukrani. Poleni sana kwa hili
Kwa kukufahamisha tu. Tuliowakomboa ni walalahoi wenzetu. Tuliopigana nao (makaburu) ndio wanaomiliki SAA. Hii ni kulipiza kisasi ingawa akina Salary Slip Quinine Return Of Undertaker Zitto na TL meno yote nje. Inshallah litapita salama tu
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…