Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Muda sio mrefu tutaambiwa South Africa ni nchi ya mabeberu inashirikiana na Kenya kuliua shirika la ndege la Tanzania!!
Halafu juzi tu, rais wa South Africa alikuwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC, akaisifia mnoo Tanzania na Magufuli akampongeza sana kwa kuweza kuifanya South Africa kuwa nchi rafiki na Tanzania. Sasa hichi kimbembe cha kukamatwa ndege ya Tanzania ndio kinadhihirisha wazi kuwa diplomasia ya siasa za kiafrika ni unafiki, unafiki, unafiki, unafiki, unafiki.....