Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA

Ni mahakama ya SA ndio imeorder ndege ishikiliwe, sio executive, sasa ramaphosa anaingiaje hapa, huko shuleni mnasomeaga ujinga?
 
Ushaambiwa na magu, snitch anaweza kukushtaki umemtimulia vumbi ilhali ulipita kwenye lami.
Hahaha hawa watu sikujua kama wanateseka this deep, yaani roho zao bariiiiiiid

Moronism of the highest order, utafikiri Magufuli ndio anazama mfukoni kwenye mshahara wake kulipia hilo deni.
 
Kwa kukufahamisha tu. Tuliowakomboa ni walalahoi wenzetu. Tuliopigana nao (makaburu) ndio wanaomiliki SAA. Hii ni kulipiza kisasi ingawa akina Salary Slip Quinine Return Of Undertaker Zitto na TL meno yote nje. Inshallah litapita salama tu

Usijidanganye. SAA inamilikiwa na serikali ya Afrika Kusini
 
Ati ni pumba, nyie wakenya ni manyumbu mengine tu, jealous you can never have kiongozi kama magu hapo kwenyu. So we feel you.
Kwanini mnapenda kuua badala ya kujifunza? Yaani rais anasema ati pesa zinazotoka migodini zitakuwa confidential ndiposa wanaowadai wasijue mna pesa? Huo si upumbavu?
 
Sijakuelewa unachomaanisha, unaweza kuandika vizuri labda kama ukipenda/weza!
Kwanini unataka kuwaua wanaanchi wenzako wanaokukosoa badala ya kuwasikiliza? Kiburi kitakusaidia na mini?
 
Kwanini mnapenda kuua badala ya kujifunza? Yaani rais anasema ati pesa zinazotoka migodini zitakuwa confidential ndiposa wanaowadai wasijue mna pesa? Huo si upumbavu?
Akili finyu baki nazo huko Kibera, kwani uliambiwa ATCL imeshindwa kulipa? Halafu hata kiswahili hujui, em jikite kwenye kimungiki sababu hata hueleweki
 
Reactions: Oii
[emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa watu zero brains kweli, hiyo pesa italipwa mapema tu sababu Tanzania ina pesa na wazalendo huwa tunatembea vidari mbele sababu tunamjua aliepo magogoni ni genius beyond measurements
 
Nyie watu wa CCM ni vichwa maji.
Mnaleta undugu kwenye biashara?
Asante sana, Tanzania kuna ma-snitches ambao wanapigana usiku na mchana kusabotage nchi yetu, sleeping with the enemy basically.
 
Hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23] naona wamejiunga na ufipa kufurahia.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu zero brains kweli, hiyo pesa italipwa mapema tu sababu Tanzania ina pesa na wazalendo huwa tunatembea vidari mbele sababu tunamjua aliepo magogoni ni genius beyond measurements
 
Wenye wako

Wenye wako na pesa hawashindwi kulipa deni na ndege zao hazishikwi pia [emoji23][emoji23]
 
aisee poleni tz, githeri kitam sana asubuhi huku nairobee...
Hongera magufuli katika hili umeonyesha ushupavu
Usije ukayumbishwa na hawa wanaolihujumu Tz

Tanzania Ni nchi huru hawawezi kushika ndege zako magu bila Sababu

Fukuza balozi wa Africa kusini
 
Hile Bombardier pia imearibika huko Zanzibar kutengeneza imewashinda. Is almost a month now[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…