Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Ushaambiwa na magu, snitch anaweza kukushtaki umemtimulia vumbi ilhali ulipita kwenye lami.Tatueni matatizo ili masnich wakose pa kuwashika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaambiwa na magu, snitch anaweza kukushtaki umemtimulia vumbi ilhali ulipita kwenye lami.Tatueni matatizo ili masnich wakose pa kuwashika
Nyumbu leo watalala na viatu 😂😂😂Akina Erythrocyte mungu amewapendelea this time, ila tuombe yaishe salama
Ni mahakama ya SA ndio imeorder ndege ishikiliwe, sio executive, sasa ramaphosa anaingiaje hapa, huko shuleni mnasomeaga ujinga?Muda sio mrefu tutaambiwa South Africa ni nchi ya mabeberu inashirikiana na Kenya kuliua shirika la ndege la Tanzania!!
Halafu juzi tu, rais wa South Africa alikuwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC, akaisifia mnoo Tanzania na Magufuli akampongeza sana kwa kuweza kuifanya South Africa kuwa nchi rafiki na Tanzania. Sasa hichi kimbembe cha kukamatwa ndege ya Tanzania ndio kinadhihirisha wazi kuwa diplomasia ya siasa za kiafrika ni unafiki, unafiki, unafiki, unafiki, unafiki.....
Leo nyama choma bar hazilaliNyumbu leo watalala na viatu 😂😂😂
Hahaha hawa watu sikujua kama wanateseka this deep, yaani roho zao bariiiiiiidUshaambiwa na magu, snitch anaweza kukushtaki umemtimulia vumbi ilhali ulipita kwenye lami.
Kwa kukufahamisha tu. Tuliowakomboa ni walalahoi wenzetu. Tuliopigana nao (makaburu) ndio wanaomiliki SAA. Hii ni kulipiza kisasi ingawa akina Salary Slip Quinine Return Of Undertaker Zitto na TL meno yote nje. Inshallah litapita salama tu
Usijidanganye. SAA inamilikiwa na serikali ya Afrika KusiniKwa kukufahamisha tu. Tuliowakomboa ni walalahoi wenzetu. Tuliopigana nao (makaburu) ndio wanaomiliki SAA. Hii ni kulipiza kisasi ingawa akina Salary Slip Quinine Return Of Undertaker Zitto na TL meno yote nje. Inshallah litapita salama tu
Tena msisahau na kudai receipts za EFD sababu ndio kulipa deni kwenyewe huko.Leo nyama choma bar hazilali
Nyumbu leo watalala na viatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini mnapenda kuua badala ya kujifunza? Yaani rais anasema ati pesa zinazotoka migodini zitakuwa confidential ndiposa wanaowadai wasijue mna pesa? Huo si upumbavu?Ati ni pumba, nyie wakenya ni manyumbu mengine tu, jealous you can never have kiongozi kama magu hapo kwenyu. So we feel you.
UnaotaUsijidanganye. SAA inamilikiwa na serikali ya Afrika Kusini
Kwanini unataka kuwaua wanaanchi wenzako wanaokukosoa badala ya kuwasikiliza? Kiburi kitakusaidia na mini?Sijakuelewa unachomaanisha, unaweza kuandika vizuri labda kama ukipenda/weza!
Akili finyu baki nazo huko Kibera, kwani uliambiwa ATCL imeshindwa kulipa? Halafu hata kiswahili hujui, em jikite kwenye kimungiki sababu hata huelewekiKwanini mnapenda kuua badala ya kujifunza? Yaani rais anasema ati pesa zinazotoka migodini zitakuwa confidential ndiposa wanaowadai wasijue mna pesa? Huo si upumbavu?
Kwanini unataka kuwaua wanaanchi wenzako wanaokukosoa badala ya kuwasikiliza? Kiburi kitakusaidia na mini?
😂😂😂 Hawa watu zero brains kweli, hiyo pesa italipwa mapema tu sababu Tanzania ina pesa na wazalendo huwa tunatembea vidari mbele sababu tunamjua aliepo magogoni ni genius beyond measurements[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana, Tanzania kuna ma-snitches ambao wanapigana usiku na mchana kusabotage nchi yetu, sleeping with the enemy basically.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu zero brains kweli, hiyo pesa italipwa mapema tu sababu Tanzania ina pesa na wazalendo huwa tunatembea vidari mbele sababu tunamjua aliepo magogoni ni genius beyond measurements
Wenye wako na pesa hawashindwi kulipa deni na ndege zao hazishikwi pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu zero brains kweli, hiyo pesa italipwa mapema tu sababu Tanzania ina pesa na wazalendo huwa tunatembea vidari mbele sababu tunamjua aliepo magogoni ni genius beyond measurements