Askari kioja
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 356
- 962
Goma litarud na tutakuja Kenya kuoa cc tunapga pumdu tyuNimeskia ya kwamba ndege yenu iliyokuwa imeenda SA imekamatwa. Naona hawa watu ambao nyie hudai kuwa mliwakomboa hawana shukrani. Poleni sana kwa hili
Hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23] naona wamejiunga na ufipa kufurahia.
Lipeni deni bana[emoji23]Goma litarud na tutakuja Kenya kuoa cc tunapga pumdu tyu
Mkuu usinihusishe kwenye kila uchafu wenu , mdaiwe nyinyi halafu mtuingize sisi ili iweje ? pambaneni na Hali zenuAkina Erythrocyte mungu amewapendelea this time, ila tuombe yaishe salama
Hakika huo ndio mwendo wa kizalendo haswaaaaa π π π π
Mwendo wa kizalendo... Pesa ipo πππ
Umelala usingizi wa pono. Fatilia ujue ukweli...Acha kuzua imeandikwa wapi tunadaiwa ela hizo
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Kuwa na jirani kama Kenya inaitaji moyo wa chuma hivi kwa nini tusiichukue Kenya kwa mabavu liwe koloni letu
Kaka hawa unawatuhumu bure. Kosa sisi huku kauli boss ndiyo sheria. Nakumbuka huko nyuma amepiga marufuku, wanaoidai serikali kutoshikilia mali za serikali !!. Sasa nchi za watu ni rule of law. Mihimili haiingiliani kama kwetu.Kwa kukufahamisha tu. Tuliowakomboa ni walalahoi wenzetu. Tuliopigana nao (makaburu) ndio wanaomiliki SAA. Hii ni kulipiza kisasi ingawa akina Salary Slip Quinine Return Of Undertaker Zitto na TL meno yote nje. Inshallah litapita salama tu
Tutalipa dawa ya deni c kulipaLipeni deni bana[emoji23]
Nawe ni galegale! Kwa yeyote anayeshabikia unyama huu ni mhainiKaka hawa unawatuhumu bure. Kosa sisi huku kauli boss ndiyo sheria. Nakumbuka huko nyuma amepiga marufuku, wanaoidai serikali kutoshikilia mali za serikali !!. Sasa nchi za watu ni rule of law. Mihimili haiingiliani kama kwetu.
Na hizi safari za nje , tukae macho . Huenda zikaendelea kushikiliwa
Hahaaa.πππ kama nakuona vile unavyoshangilia ndege zetu kukamatwa... hata hivyo, dawa ya deni ni kulipa tu, hakuna namna...MwendaOmo nyuzi kama hizi muwe mnatutag, jamaa walikesha humu wakitutambia vile Afrika Kusini huwasifia kwa wao kuikomboa, nikawaambia hayo ni ya kale na leo hii ubora wa uchumi ndio lugha inayofahamika, hamna pumba za undugu wala nini.
Hahaaa.πππ kama nakuona vile unavyoshangilia ndege zetu kukamatwa... hata hivyo, dawa ya deni ni kulipa tu, hakuna namna...
Nimeona, ndiyo maana nasema hakuna namna tulipe tu...Kwa kweli sishangilii, hili limenihuzunisha kiaina, maana rais wenu anapambana sana kujaribu kuiweka Tanzania kwenye ramani ya mataifa yanayoskika bara hili, tatizo aidha hashauriki au wanaompa ushauri ndio wabovu, maana ni mwendo wa full mikurupuko bila mikakati.
Halafu Maccm wa mitandaoni kutwa kutukana wenzao, hadi jambo kama hili likitendeka utakuta idadi kubwa ya Watanzania watashangilia na kusherekea maana wametukanwa hadi uzalendo umewapungukia.
Nenda jukwaa la siasa uone Watanzania wenzako huko wanachekelea na kufurahi.
Kuwa na jirani kama Kenya inaitaji moyo wa chuma hivi kwa nini tusiichukue Kenya kwa mabavu liwe koloni letu
But the court has already issued the order. Or what did you mean [emoji23][emoji23]This is a very simple case, A court cannot issue Such orders Ex- partie. Both sides must be heard. If its SAA that went to court then it means they are feeling the ATCL heat[emoji23][emoji23]
These are just normal business rivalary Tactics.
ITS NOT A SUPRISE, NO ONE IN G.O.T IS SUFFERING A HEART ATTACK, COMPETITION AND DIRTY TRICKS HAVE BEEN PLANNED FOR BY ATCL IN THEIR BUSINESS PLAN THAT IS WHY S.A WAS THE FIRST INTERNATIONAL DESTINATION FOR ATCL