Kwa kweli sishangilii, hili limenihuzunisha kiaina, maana rais wenu anapambana sana kujaribu kuiweka Tanzania kwenye ramani ya mataifa yanayoskika bara hili, tatizo aidha hashauriki au wanaompa ushauri ndio wabovu, maana ni mwendo wa full mikurupuko bila mikakati.
Halafu Maccm wa mitandaoni kutwa kutukana wenzao, hadi jambo kama hili likitendeka utakuta idadi kubwa ya Watanzania watashangilia na kusherekea maana wametukanwa hadi uzalendo umewapungukia.
Nenda jukwaa la siasa uone Watanzania wenzako huko wanachekelea na kufurahi.