juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kiba angekosekana nisingetoa hela yanguhuyo ata asipokuwepo haina tabu kitu team KIBA!!
Wewe nawe?Ile show kabambe ambayo huwakutanisha wasanii kibao pale stejini (FIESTA) inafanyika muda si mrefu hapa Tz lakini katika hali ya kuudhi na kuhuzunisha ni kwamba msanii Diamond hatokwepo kabisa. Sababu ni kwamba Diamond ni balozi wa Vodacom, sasa akiwa kama balozi wa Voda ni hawezi kwenda kwenye show iliyoandaliwa na Tigo.
Pole sana mtu wa Diamond maaana hapo ni kwamba Kiba atajiachia sana, pale ambapo Kiba atakuwa anajiachia na kushangiliwa basi team Mond watanuna na kuvimba. Poleni sana, watu tusio na team ni full kuenjoy maana tunaangalia muziki mzuri na sio msanii[emoji2]
kabisaa bora wakose wooote ila sio KIBAKiba angekosekana nisingetoa hela yangu
Kitu pesa bwana, hiyo fiestha wanamuziki wanalipwa nini cha mno, uwache kuingia mikataba ya kibiashara kuogopa kuikosa. Hii inafanana sana ile ya baadhi ya wachezaji wetu, kuwa tayari kuvunja mikataba yao waliingia na timu za nje, ili waje wacheze Simba na Yanga. Diamond piga pesa Baba usibabaishwe na vitu vidogo vidogo.Hao wameneja sijui kina nani hao wa diamond ni wapuuzi na diamond mwenyewe utakubalije kufunga mkataba wa kipuuzi namna hiyo ime kuwa ndoa ya kikristo et mtaandamana hadi kifo kitakapo watenganisha wajifunze siku nyingine.
Au tamaa ya pesa nyingi?
Paka aikiondoka...................Ile show kabambe ambayo huwakutanisha wasanii kibao pale stejini (FIESTA) inafanyika muda si mrefu hapa Tz lakini katika hali ya kuudhi na kuhuzunisha ni kwamba msanii Diamond hatokwepo kabisa. Sababu ni kwamba Diamond ni balozi wa Vodacom, sasa akiwa kama balozi wa Voda ni hawezi kwenda kwenye show iliyoandaliwa na Tigo.
Pole sana mtu wa Diamond maaana hapo ni kwamba Kiba atajiachia sana, pale ambapo Kiba atakuwa anajiachia na kushangiliwa basi team Mond watanuna na kuvimba. Poleni sana, watu tusio na team ni full kuenjoy maana tunaangalia muziki mzuri na sio msanii[emoji2]
na Wizkid aliefanya show fiesta mwanza?Diamond kiwango chake ni MTV sio fiesta mavumbini
We sijui wa wapiKuwa balozi wa vodacom hiyo sio sababu jamaa Kuto kusajiliwa fiesta clouds watakuwa wameshindwa mpunga wa kumlipa jamaa kuna kipindi mashabiki wa daimond walileta documenty hapa chini ya milion 100 jamaa hafanyi show
-Nyerere-