juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Ile show kabambe ambayo huwakutanisha wasanii kibao pale stejini (FIESTA) inafanyika muda si mrefu hapa Tz lakini katika hali ya kuudhi na kuhuzunisha ni kwamba msanii Diamond hatokwepo kabisa. Sababu ni kwamba Diamond ni balozi wa Vodacom, sasa akiwa kama balozi wa Voda ni hawezi kwenda kwenye show iliyoandaliwa na Tigo.
Pole sana mtu wa Diamond maaana hapo ni kwamba Kiba atajiachia sana, pale ambapo Kiba atakuwa anajiachia na kushangiliwa basi team Mond watanuna na kuvimba. Poleni sana, watu tusio na team ni full kuenjoy maana tunaangalia muziki mzuri na sio msanii[emoji2]