Poleni mashabiki wa Diamond pamoja na team yake

HIVI DIAMOND UMUWEKE NA WIZIKD ACHUKUE TUZO HA HA MTV SI MCHEZO
 
"King" wetu ukisikia shoo ya nje jua Mombasa,tena ni kwasababu ya kujuana na Gavana wa Mombasa.
 
Kama una mb za kutosha si vibaya ukaichungulia hii.
 
Diamond anaweza kupaform fiesta kama wakifika dau
Vodacom haimzuii ila malipo kiduchu ndo yanayomfanya aendelee na show nyingi za nje zinazolipa
Jiulize mond kafanya show ngapi za bongo mwaka huu ?
Kwanini amefanya show nyingi zaidi ya asilimia 90 ya show za mwaka huu ni za nje ?
Je show za ndani hapati ? , na kama unahisi hapati mbona hata wasanii chipukizi tu wa WCB walionza game mwaka huu akina rayvanny wanapiga show nyingi sana TZ
TATIZO MPUNGA ....
tekno, yemi watalipwa vizuri ila wandani mtalipwa kishkaji
 
hayaaa ni wakati wa mzee wa backstage kufanya yake.. mic lazma ichokonolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…