Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
18,000 ukilipia kwa tigopesaKwani fiesta shi ngapi?
Kaah hiyo bei kubwa sana...Na ukilipia kwa Ruge?18,000 ukilipia kwa tigopesa
20,000 ukilipia kwa cash
Nyinyi ndo mnamvimbisha kichwa yule dogo kumbe ndo mnampotezaDiamond hapaform mchangani!
mwenzangu hilo nililionaBasi nikawa napitia comments za wakenya wanajisifia kinoma ile ndege yao aliyotumia mpaka wanakera
Hapo wameshaona kuwa tarehe 4 - 6 yupo Nigeria,hayupo Bongo.
Kwani anakitugan kipya zaif ya yooooo..Kiba angekosekana nisingetoa hela yangu
Sasa kichaga hapa dar es salaam atamfunika nani anayejua kichaga?Kuna dogo mmoja kutoka Moshi anaimba kichaga huyo naona atafunika wote. .
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115][emoji13] [emoji13] alafu team mond mkazime tena maiki
Unaambiwa mziki wa kiba hauchuji, kila unapousklza unaskia kitu kpya tofauti na ulchoskia jana ndio maana aje iliyotolewa miaka hyo bado inabamba kwny chati ndan na nje ya nchiKwani anakitugan kipya zaif ya yooooo..