Poleni sana mliomwaga damu kwa ajili ya CHADEMA, ukweli mmeuona!

Mtumishi Wetu,
'Ni muda tu utasema KWELI'..... Prof. Lipumba alisema ACT ni Hoiii! ila sasa nadhani anayajutia ama atayajutia maneno hayo.
Binafsi sipendi sana hawa viongozi wetu kutuhujumu namna hii.... Nakumbuka sana Zitto, Dr. Slaa kuondoka chamani kulivyoumiza hisia za wengi wapenda Demokrasia.
 
We mnafiki si umepita bila kupingwa kwenye uenyekiti wa SM , hoja yako ni ipi tena ? kutoka udaktari hadi kwenye uongozi wa kijiji ! hili ni anguko kubwa sana .
Kwahiyo SM hawahitaji akili kubwa sio?
 
meningitis,

Unatakaje, watu waondoke cdm wahamie ccm ama? Naona hapa ni kama unatoa ushauri watu wasisafiri kwasababu kuna baadhi wamefariki au kupata vilema kutokana na ajali
 
Chakaza, Kwahiyo Azory ni mwanachadema aliyeuawa na jiwe? Je saa nane nae kauawa na jiwe? Huyo jiwe ni nani hasa?

Wewe endelea kulamba viatu vya kina Mbowe.
 
Meningitis umeisha nunuliwa kamanda??
Sio wewe au umeondoka na Boss wako Sumaye ili ukaunge mkono!!
Ndio maana tunawastukia, njaa mbaya saana.
M4 C inasonga mbele ikiongozwa na kamanda Mbowe.
Mchujo unaendelea mtaisha wote mapandikizi wa Lumumba!!
Aliyewapandikiza huko ni nani?

Kama mwanamke anakubali kupanua miguu ili mwanaume apandikize mbegu zake huko, ataanzaje kulumu akipata ujauzito?
 
Ingependeza kama ungechambua propaganda na ukweli uliouona kwenye hayo maoni yake.
 
Kwahiyo Azory ni mwanachadema aliyeuawa na jiwe? Je saa nane nae kauawa na jiwe? Huyo jiwe ni nani hasa?

Wewe endelea kulamba viatu vya kina Mbowe.

Unauliza au unapigia jibu mstari?
 
Great thinkers!

Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.

Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Sasa unaidhihirishia Dunia kuwa vilio Vya wapinzani kuuawa,kutekwa nk ni Vya kweli?
 
Chadema ni genge la kinyesi[emoji41]
Rubbish.......

Tambua mkuu Meningitis, waliomwaga damu katika Chadema, wamefanya hivyo kutokana na udikteta wa Mwenyekiti wako Jiwe......

Kuna aliyemwaga damu zaidi ya Jiwe katika nchi hii??
 
Nanukuu"mimi nipo kwa ajili ya ccm" haya ni maneno ya sumaye ikulu hlf leo apewe uenyekiti hivi huyu mzee anajisahau hivyo.
 
Great thinkers!

Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.

Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Wameuwawa na CCM kukitetea Chadema
 
Kuna hulka moja ya wakibosho...
Anaweza akakuchoma na kisu chake, kikivunjika anakudai kisu chake bila kujali amekuumiza kiasi gani
 
We mnafiki si umepita bila kupingwa kwenye uenyekiti wa SM , hoja yako ni ipi tena ? kutoka udaktari hadi kwenye uongozi wa kijiji ! hili ni anguko kubwa sana .
Kuna kipindi nilimwona huyu jamaa Mtwara,
 
Hana lolote , namjua kuliko unavyodhani , njaa mpaka machoni
Wana-Chadema wote njaa tu maana akivua gwanda mmoja wao utasikia oooh.... kanunuliwa, huyo huyo anayesema fulani kanunuliwa ndo huyo naye baada ya miezi miwili analivua gwanda na kurudi home kulikonoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…