Poleni sana Wabongo ambao ni homeless huko Marekani kwa sababu baridi huko kwa sasa sio ya mchezo.

jimbo la Houston imeokotwa stand tayari wamepoteza uhai.

Hakuna jimbo la Houston.

Waliofariki ni wabongo/diaspora?

Bongo watu hawafi?

Jielimishe, barafu haipo Marekani yote kuna sehemu nyingi tu hakuna snow. California kuna wildfire hivi sasa if you know anything about wildfires.
 
Hakuna jimbo la Houston.

Waliofariki ni wabongo/diaspora?

Bongo watu hawafi?

Jielimishe, barafu haipo Marekani yote kuna sehemu nyingi tu hakuna snow. California kuna wildfire hivi sasa if you know anything about wildfires.
Nahisi huyo alimaanisha jimbo la Texas. Kwakuwa Houston ipo Texas.
 
Mbona haya mateso ni kawaida hata hapa nyumbani yapo wewe utakua sio hasola au umekuzwa na singo maza full kudekezwa tu.
Western countries zina mazingira hatarishi zaidi kwa human survival zaidi ya Africa. Tanzania kulala nje starehe, Marekani kulala nje ni kifo sababu ya baridi kali. Na kwa Mwafrika aliye-adapt kuishi mazingira joto atakufa haraka zaidi.
 
Hakuna Homeless Tanzania. In fact, ukikuta mtu analala nje basi jua kajitakia au ni mwizi. Yes, kulala nje. Sababu ukienda Marekani "Homeless" ina maana tofauti kabisa zaidi ya kulala nje.
 
Mkuu unaweza ukawa na Home full furnished lakini hauna pesa ya kununulia Heating (gesi) na huko hakuna kulala na jiko la mkaa na ukisema ununue heater ni gharama...; Life is expensive ndio maana kuna watu wanashangaa eti kusema fulani masikini anaishi chini ya dollar mbili kwa siku wakati huku kule vijijini mtu anaweza kuishi wa raha mstarehe kwa mwezi chini ya dollar tano...

All in all this is one of the best continent in the world; jitihada ndogo tu zitaigeuza Heaven on Earth; Huko mara Snow huku mara kule Moto basi tu ni tafrani...
 
Hakuna jimbo la Houston.

Waliofariki ni wabongo/diaspora?

Bongo watu hawafi?

Jielimishe, barafu haipo Marekani yote kuna sehemu nyingi tu hakuna snow. California kuna wildfire hivi sasa if you know anything about wildfires.
Houston Texas.

Taarifa haijataja utaifa wa waliofariki ila inatoa taswira
ya wazamiaji ambao wengi ni homeless maisha wanayoishi.
 
Kusema jimbo la Houston kunamuondolea credibility. Huwezi sema mkoa wa Moshi au Songea, can you?
Hainiondolei credibility yoyote hayo ni makosa ya kawaida, itaniondolea

credibility kama hiyo Houston haipo Marekani au kama tukio la homeless
kufa kwenye kituo cha basi huko Houston sio la kweli.
 
Uzuri wa maisha ni nini ? Na kama mtu kazoea maisha magumu si ameridhika hence ana furaha ? Case in Point.., Nilikuwa naongea na jamaa mmoja mzungu huko UK...,alikuwa anaangalia zile picha za watoto wa kiafrika wamepauka, wapo vifua wazi na peku huku wanashangaa lakini wana bonge la tabasamu..., basi akawa ananiambia duh masikini mtoto huyu na hizi shida..., Basi kimoyo moyo nikasema ungejua huyu anafuraha maradufu kuliko wewe au jamaa zako wote (yupo free) sio mtoto wako huyo amerudi kutoka shule (kaondoka giza karudi giza) akifika amefungiwa ndani sehemu ya kucheza na wenzake akitoka hapa hakuna kuna barabara maisha yake ni full stress tangia umri mdogo...., na kama ni mweusi au half caste anajishitukia kwamba anabaguliwa au ni second class.....

Ingawa that was then.., sasa hivi naona na sisi tunaanza kuelekea huko kwa kuangalia maisha ya huko kwamba ndio maendeleo ingawa hatuangalii sustainability (Social, Economical na Environmental)
 
 

Attachments

  • 1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 1
Africa na Tanzania tuna majanga miaka ywtu yoote tangu Uhuru .....ujinga maradhi na umaaikini wa kupindukia......hayo huyaoni ? Zaidi 70% population wanaiahi mlo mmoja tu.....na nyumba moja watu wanasongamana kitanda hata watu 3.....hawana hope yeyote zaidi wataiahia kuuza rasilimali......
 
Haya majanga yanaepukika endapo waafrika tukijitambua usiyafananishe na majanga kama winter storms na forest fire ambazo hazizuiliki.
 
Lakini haibadilishi ukweli kuwa homeless wengi wa Kiafrika wanakufa
huko kwa kuganda kwa barafu.
 
Haya majanga yanaepukika endapo waafrika tukijitambua usiyafananishe na majanga kama winter storms na forest fire ambazo hazizuiliki.
Ni mkuu hayo ni Natural hayazuiliki ni hatari sana mfano kimbunga kilicho
leta mafuriko kwenye kisiwa cha Ufaransa na kuuwa watu wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…