Huyo ni mwehu sijui hata kama natural calamities anazijua et Njaa. Kwa style hii Mbowe atafia kwenye kiti kama mwenyekiti . Ndugu Melo aweke utaratibu wa kufanya assessment ya IQ au special matriculation kind of stuff humu tutajaza wakina Ntobi.Mkuu lini ulisikia kuna tetemeko la ardhi Afrika? au Tsunami au winter storm kama Marekani?
Kuhusiana na njaa na milipuko ya magonjwa hizo siyo natural calamities ni matatizo yanayosababishwa na binadamu na yanaweza kuepukika.
Houston Texas.
Taarifa haijataja utaifa wa waliofariki ila inatoa taswira
ya wazamiaji ambao wengi ni homeless maisha wanayoishi.
The truth is an Indivisible boss. Pole sana kama wewe maisha yako huko🤣 🤣 🤣
You have no idea what you're talking about. Endelea kujipa moyo. Naacha kubishana na mjinga.
Sisi wazee miaka ya 80 tulikuwa tunao stowawayShida hao mahustler wanataka mafanikio ya chapchap so wanaenda huko wakiamini watafanikiwa kumbe tamaa mbele mauti nyuma. Anaweza asipigwe na baridi ila akaingia kwenye madawa ya kulevya.
Mpaka sasa wengine huko ni choka mbaya wanaogopa kurudiSisi wazee miaka ya 80 tulikuwa tunao stowaway
Wengi tuliosoma nao ambao hawakuipenda shule ndo waliondoka kwa wingi wamerudi bongo chokambaya wamekuta tumewapiga gap la kutosha
Ila siku hizi madogo waliokimbia shule wengi ni madalali wa magari na viwanja ndo wanajiita hustler wakipiga bingo wanakuja mitandaoni kuwatukana walioenda shule,
Utashangaa kumsikial mtu kama doto magari anawatukana wasomi
The truth is an Indivisible boss. Pole sana kama wewe maisha yako huko
ni mazuri usifanye generalization.
Hiyo nauli ya kwenda huko walitoa wap?Ni vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana.
Katika kipindi hiki cha hali mbaya ya hewa huko hasa baridi kali kiasi kwamba baadhi ya majimbo yametangaza hali ya hatari kama huna sehemu salama ya kujisitiri ni hatari kwa afya na uhai.
Juzi nimesoma kwenye habari miili ya wanaume wawili homeless huko Houston jimbo la Texss imeokotwa stand tayari wamepoteza uhai.
So ni bora kama huna uhakika na uendako fanya mapambano ya maisha hapa hapa nchini au nchi nyingine ambazo una uhakika wa kupata huduma za msingi za kibinadamu.
Ukiwa na nyumba ndio hufi njaa? Anaongelea kifo kinachosababishwa na kukosa malazi, hivi kwanini mnashindwa kujibu hoja kwa hoja consisely, ni low IQ au tatizo ni nini?Huku wanakufa njaa na kukosa tiba fasaha.
Hujaishi na wenye uhitaji ndio maana unaongea hivyo.Na huku ukiona homeless kafa kwa njaa basi kapenda mwenyewe ina maana kashindwa hata kuokota makopo ya kuyauza.
Mkuu homeless wa huku wengi wao sio wenye uhitaji na kama wapo ni wachache sana na wengi wao husaidiwa na ustawi wa jamii na mashirika ya watu wenye uhitaji.Hujaishi na wenye uhitaji ndio maana unaongea hivyo.
Siotuu baridi pia janga la moto wa nyikaNi vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana.
Katika kipindi hiki cha hali mbaya ya hewa huko hasa baridi kali kiasi kwamba baadhi ya majimbo yametangaza hali ya hatari kama huna sehemu salama ya kujisitiri ni hatari kwa afya na uhai.
Juzi nimesoma kwenye habari miili ya wanaume wawili homeless huko Houston jimbo la Texss imeokotwa stand tayari wamepoteza uhai.
So ni bora kama huna uhakika na uendako fanya mapambano ya maisha hapa hapa nchini au nchi nyingine ambazo una uhakika wa kupata huduma za msingi za kibinadamu.
We acha tu. Kwao 2025 imeshaanza vibaya.Jokes aside kama una jamaa yako California karibu na Los Angeles mtafute. Kunawaka mioto mitano huko na hali bado ni tete.
We acha tu. Kwao 2025 imeshaanza vibaya.
Vipi Mange naye humo kwa hao homeless au?Ni vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana.
Katika kipindi hiki cha hali mbaya ya hewa huko hasa baridi kali kiasi kwamba baadhi ya majimbo yametangaza hali ya hatari kama huna sehemu salama ya kujisitiri ni hatari kwa afya na uhai.
Juzi nimesoma kwenye habari miili ya wanaume wawili homeless huko Houston jimbo la Texss imeokotwa stand tayari wamepoteza uhai.
So ni bora kama huna uhakika na uendako fanya mapambano ya maisha hapa hapa nchini au nchi nyingine ambazo una uhakika wa kupata huduma za msingi za kibinadamu.
Hawana confidence ya kurudi wengi wao wanaona aibu.Nani anafanya generalization mimi au wewe? Kwamba homeless ni immigrants 🤣 🤣
Umewahi kusikia immigrant hata mmoja tu kawa homeless US au karudi umatumbini kula vumbi kisa maisha magumu?
Nenda ubalozini kaone wamatumbi wangapi wanataka waende kiwanja wakawe homeless afu linganisha na wanaorudi kila siku kisa ugumu wa maisha afu nipe jibu.
This is deep. Poleni sana watu wa California hali ni tete. Asante kwa update Kiranga.Jokes aside kama una jamaa yako California karibu na Los Angeles mtafute. Kunawaka mioto mitano huko na hali bado ni tete.
Huo ni mtazamo hasi mwanaume lazima uwe na kiu ya mafanikio, na kuhama au kwenda nchi nyingine kwa ajili ya kutafuta mafanikio ni jambo jema sana na ujasiri, mtu dhaifu hataa nyumbani kwao tu anaogopa kuhamaShida hao mahustler wanataka mafanikio ya chapchap so wanaenda huko wakiamini watafanikiwa kumbe tamaa mbele mauti nyuma. Anaweza asipigwe na baridi ila akaingia kwenye madawa ya kulevya.
Mungu awapiganie maana mpaka jana moto uliendelea kuunguza nyumba za watu. Ila Marekani hali ni tete yaani huku watu wanajifungia majumbani kwasababu ya baridi alaf huku watu wanazikimbia nyumba zao sababu ya moto.This is deep. Poleni sana watu wa California hali ni tete. Asante kwa update Kiranga.
Kwani mafanikio hayapatikani hapahapa Bongo?Huo ni mtazamo hasi mwanaume lazima uwe na kiu ya mafanikio, na kuhama au kwenda nchi nyingine kwa ajili ya kutafuta mafanikio ni jambo jema sana na ujasiri, mtu dhaifu hataa nyumbani kwao tu anaogopa kuhama
Be a man