Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.

Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.

Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .

Kwa hili MAKALA namlaumu sana anatakiwa kufukuzwa maana kama wametoa mwezi halafu unavunja usku wa manane na mali za watu unachukua!

Mkuu wa mkoa aliambiwa na Rais watoeni kwa staha

kwako DADA UMMY sasa una la kuongea sema na wewe TUKUSKIE au CCM ni ileile
 
Inasikitisha sana, watafutiwe maeneo rasmi wakafanyie biashara huko,na waliohusika kuvunja ikionekana hawakutenda kwa mujibu wa sheria wawajibishwe..
 
Kwa hili la wamachinga na namna wanavyoendesha shughuli zao ni mtu mjinga pekee ama machinga mwenyewe anayeweza kulitetea. Ni kweli kila mmoja anatakiwa kuwezeshwa kupata riziki yake lakini iwe kwa utaratibu. Mji umekuwa kama vijiji vya ujamaa?
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.

Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.

Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .

View attachment 1949458
 
Back
Top Bottom