mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Duh kumbe wamachinga wa Tz wanatengeneza hela kiasi kwamba benki zinawakubalia mikopo ya kupita milioni 15 kirahisi kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapeni maeneo sasaKwa hili la wamachinga na namna wanavyoendesha shughuli zao ni mtu mjinga pekee ama machinga mwenyewe anayeweza kulitetea. Ni kweli kila mmoja anatakiwa kuwezeshwa kupata riziki yake lakini iwe kwa utaratibu. Mji umekuwa kama vijiji vya ujamaa?
Sawa kabisa, wamechafua mitaa ya kila mikoa.Acha awapange wakae kwa mpango
Kama lawama iwe lawama lakini jambo
Litimie
Ova
kwaio unataka kusemaje sasa?Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458
Kwani before mkuu walikuwa wanafanyaje?Anayepashwa kulaumiwa ni marehemu Magufuli kwa kuwadanganya kuwa hawawezi kuguswa na mtu yeyote kisa walimchagua.
Upo sahihi kabisa kiongoziKwani before mkuu walikuwa wanafanyaje?
Tusimlaumu JPM,hizo ni propaganda za CCM kuwatumia vijana,maana tangu awamu ya nne hakukuwa na uamzi wa kuwasaidia zaidi ya wao kupiga pesa kupitia ujenzi wa Machinga Complex. Tangu lini machinga umjengee Golofa la nini wakati yeye anatandika chini au kibanda.
CCM wajitafakari na sera zao na hii 2025 itawaumbua sana.
walidhani wale wasukuma watakuwepo milele.Leo hii wanalia na kusaga meno kudadadeeki zao
Kamwe siwezi kuwasamehe hao wasaliti wacha watesekeSasa walidanganywa kivipi? Wakati wa uhai wake alijitahidi kuwawekea mazingira bora ya biashara na wao wakawa na furaha tele.
Unajua Mleta Mada samehe saba mara sabini, ondosha chuki.
ushauri wako ni upiNdiyo nishasema kuwa wamachinga wanavuna walicho kipanda
CCM ni cancer, usishangae 2025 wakawaambia warudiSiku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458