Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458
Tena koma kabisa kumtaja JPM hiyo ni habari nyingine nyie endeeni na mambo yenu wakati sisi tukiomboleza!Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458
Acha awapange wakae kwa mpangoMakala anajua analofanya
Muda utasema
Basi acha waisome namba hao wajasiriamali kuna muda utafika tutazungumza lugha moja tu.Hapo mkuu ndiyo ishatoka maana hakuna wa kumuwajibisha Makalla
Anayepashwa kulaumiwa ni marehemu Magufuli kwa kuwadanganya kuwa hawawezi kuguswa na mtu yeyote kisa walimchagua.Kwa hili la wamachinga na namna wanavyoendesha shughuli zao ni mtu mjinga pekee ama machinga mwenyewe anayeweza kulitetea. Ni kweli kila mmoja anatakiwa kuwezeshwa kupata riziki yake lakini iwe kwa utaratibu. Mji umekuwa kama vijiji vya ujamaa?
Ccm haitegemei kuraNdiyo kwanza watu wanawapiga vibuti pamoja na kupoteza kura zao
NILIWAHI KUAMBIWA NA MZEE MMJA WA KIMAKONDE HUKO MSUMBIJI LONG TIMEMakala anajua analofanya
Muda utasema
Mbona naona kama vile wamengoja awe nje ya nchi ndio wafanye ubabe wao na lawama zimshukie yeye!!!!!Ndo serikali ya accm chini ya Samia Suluhu Hassan.
serikali ya CCM inawanyoosha wamachinga kweri-kweri.Msidhulumu watu hawa
Nimeshangazwa kupitia UTV channel mkuu wa Wilaya anahojiwa asubuhi kwa kile kikichotokea usiku wa manane anadai haielewi na hana taarifa.Huyo ndo mkuu wa Wilaya ambaye tukio limefanyika ndani ya wilaya yake huku yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ukinzi na usalama wa wilaya ! angekuwa Magu angeshakula kichwa mara tu alipotoka kwenye cameraKwa hili MAKALA namlaumu sana anatakiwa kufukuzwa maana kama wametoa mwezi halafu unavunja usku wa manane na mali za watu unachukua!
Mkuu wa mkoa aliambiwa na Rais watoeni kwa staha
kwako DADA UMMY sasa una la kuongea sema na wewe TUKUSKIE au CCM ni ileile