Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #81
Upo sawa na kama taifa naona bado kuna sehemu tunakwama sana au kwa kujua au kwa kutojua.Nimeona kikundi kidogo alichokuwa anaongea nacho samia huko marekani nadhani tuweni wawazi kuwa hao sio wafanyabiashara ila ni wadau wachache sana. Sijaona tija kwenye hilo
Pia nimeona picha ya samia imewekwa huko marekani kama bango kuna umuhimu gani kwani wa marekani hiyo picha inawaletea nini??
Hii billboard inatusaidia nini kama nchi na bajeti yake inatokea wapi BUNGE LINAJUA HIVI SHIDA TUNAZOPATA HUKU ZIMETATULIWA!?
AKINA DIAMONDI HUWA WANAWEKA HIZO BILLBOARD ILI WAUZE NYIMBO ZAO
JE? KUWEKWA HUKO PICHA YA RAISI WETU INAMUSAADA GANI
KWANINI WASIWEKE PICHA ZA VIVUTIO VYA UTALII KWANI PICHA YAKE RAISI INAMUSAADA GANI KUWEKWA KAMA PICHA YA BILLBOARD HUKO MAREKANI
Kipindi hiki taifa limekwama pande zote kiuchumi baada ya system yoote ya wawekezaji kuvurugwa na utawala wa awamu iliyopita.