mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Utaratibu ni muhimu swahibaMwingine anatundika bidhaa kwenye transformer...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaratibu ni muhimu swahibaMwingine anatundika bidhaa kwenye transformer...
Wapinzani wa nchi hii ni wapuuzi tu. Kabla ya zoezi hili mlisema Wamachinga ni Mzigo, leo mnawaonea huruma. Ovyo kabisaaaSiku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458
Akirudi moja kwa moja location kufanya video shooting! Royal tour..Samia yupo zake YuesiEi hana habari
Hata angekuwepo ni muda tu ungewadia wangewaondoa ccm hawatofautiani sana na Manara.Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458
Nchi hii hakuna uchaguzi wa halali chini ya ccm na ndio maana hawana hofu na hasira ya wananchi juu ya kura.Ndiyo kwanza watu wanawapiga vibuti pamoja na kupoteza kura zao
Muda gani Tena huo Mama D?! Nchi ndiyo hivyo tena...Binafsi siku hizi naishi kwa hofu tupu...yaani ninachosikia mitaani sijawahi kuona ni manung'uniko kwa kwenda mbele...Makala anajua analofanya
Muda utasema
Muda gani Tena huo Mama D?! Nchi ndiyo hivyo tena...Binafsi siku hizi naishi kwa hofu tupu...yaani ninachosikia mitaani sijawahi kuona ni manung'uniko kwa kwenda mbele...
Ukiona ccm inawanyenyekea wananchi ujue ni ajili ya kuepusha vurugu ili waendelee kutawala lakini kuhusu kura hawahofii wanajua wataiba.Nakubaliana na wewe bila shaka yoyote.
Lkn hao walizoeshwa na kupewa uhakika kuwa hakuna atakaye wagusa kisa waliichagua ccm.
Leo hii ccm hiyo hiyo inawageuka na kuwaachia simanzi
Ninawasiwasi na akili yako pia unachomiliki huja miliki kihalali utakuwa mwizi umachinga hakuna mtu anayeuchagua ila ni maisha tuKila mtu ana mahitaji ya msingi ya familia, so kutokufata taratibu za mipango miji na kuchafua miji hyo haukubaliki, halafu masoko yako mengi huko ndio ilikuwa sehemu Yao nakumbuka enzi za mkwere machinga walikuwa hawauzi popote migambo ilifanya kazi yao, so machinga wasiji one vulnerable kwa kutaka huruma kila mwananchi anapambana na Hali yake ya maisha, na hamna kitu kirahisi duniani.
Suala ni ccm kuwa ndumila kuwili kwani mwendazake hakuwa ccm?Mtanikumbuka..........
Humu JF kuna watu wanafiki, kipindi kule Mwendazake alipowaruhusu wamachinga,walimponda humu sana, halafu leo wanamsema Mwendazake mbaya.
Leo ukizisoma comments zao unahisi labda watu wawili tofauti.
Erythrocyte kaka naona yale maombi yako ya machinga watolee mijini kipindi cha Mwendazake akiwa rais yamesika, ila navyo kujua leo utakuwa upande wa wamachinga (threads na comments zako ninazo).
Ccm ni ile ile.. hamna jipyaMuda gani Tena huo Mama D?! Nchi ndiyo hivyo tena...Binafsi siku hizi naishi kwa hofu tupu...yaani ninachosikia mitaani sijawahi kuona ni manung'uniko kwa kwenda mbele...