The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Pombe zote za Tanzania ni mataputapu tuGT
Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop.
Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya.
Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
View attachment 3651616View attachment 3651617
Pombe salama ni kimpumu,mbege,bhwakyindi,wanzuki na nyinginezoGT
Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop.
Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya.
Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
View attachment 3651616View attachment 3651617
Duuh,
Kwamba 61% ya pombe za Tanzania ni Feki??
Wangefafanua aina za hizo pombe ambazo ni bandia.
Je, wine ni salama?
Watengenezaji wa hizo Feki ni nani? Je, ni viwanda bubu vya Wachina?
Je, TBS, Policcm, na mamlaka zingine wametiwa mfukoni na hao wahalifu?
Si ajabu magonjwa ya figo, saratani, nk, yanazidi kushika kasi.
Hiyo ni nadharia, uhalisia ni tofauti kabisaa.Pombe ndio mama wa maasi
Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo
Sio tu feki mamlaka zimelala zinaangalia mapato na kodi but haziangalii afya za watumiaji
Masigara na mirungi jePombe ndio mama wa maasi
Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo
Hii si sawa maana hawa TBL ni rivals wa watengeneza pombe wengine! Interview ipo biasedGT
Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop.
Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya.
Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
View attachment 3651616
Si hiyo tu kuna local brands like Tzee sijui kiwingu hizi sidhani hata kama wanafuatilia. Alcohol iliyopo kwenye sticker si iliyopo kwenye kinywajiKwakweli.
Hatua zaidi Zichukuliwe.
Zile pombe zilizomwagwa nimesikia kuwa mfano K vant imeandikwa ethanol iko 35% lakin walivyopima wakakuta ina 70% ya ethanol. Ambayo ni mara 2 na ni hatar kwa afya ya mtumiaji.
Ndio maana wakaconclude kuwa ni fake.
Endelea kunywa uwe sample Ili uje kutuambia pombe ipi ilikuathiriDuuh,