Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

Una uhakika gani kama ni propaganda mkuu? Hizi pombe za Bongo zinazotengenezwa vichochoroni nani anapima kuthibitisha zina kiwango gani cha ethanol?. Na upofu chanzo chake sio matumizi ya ethanol,kinacholeta upofu ni methanol. Uwepo wa methanol ni kithibitisho hizo pombe hazitengenezwi na wataalam wala hazipimwi popote,kama watu wamepata upofu hakuna namna ya kujitetea, zipigwe marufuku,ni uuaji.

Kuhusu pombe zinazotengenezwa mtaan , ni kweli Hazipimwi.

Turud suala la Rwanda.
Wao wamefungia Brand 52 za Pombe kali.
Unataka kuniambia zote zinatengenezwa mtaani?.

Sidhani.
Sababu ndio hiyo kuwa kiwango cha ethanol kimezidi. Na nyingne wamegundua zina methanol .

Nasema ni propaganda kwasababu. Serikali yoyote ikitaka kuamua jambo lake linaweza kusingizia sababu kadhaa ilimradi tu Jambo lao lipite.

Leo wanaweza wakaamka na kuzuia energy drink na kusema kuwa kuna kiambatanisho kiko ndan ya hizo energy na kinasababisha madhara kwenye moyo.

Na sio kwasababu Energy drinks ziko fake mtaani.

Kwahiyo Kwamba pombe fake ndio zinaingia Rwanda. Ninakataa.
Kama Zimezidi kiwango cha Ethanol , nakataa pia.
wao hawataki vinywaji vikali vinavyotumia ethanol kwa kiwngo flani. Wanadai kuwa ni kiwango kikubwa. Wakati ni Normal 35%-43% inayokubalika kimataifa.
 
Duuh,
Kwamba 61% ya pombe za Tanzania ni Feki??

Wangefafanua aina za hizo pombe ambazo ni bandia.

Je, wine ni salama?

Watengenezaji wa hizo Feki ni nani? Je, ni viwanda bubu vya Wachina?

Je, TBS, Policcm, na mamlaka zingine wametiwa mfukoni na hao wahalifu?

Si ajabu magonjwa ya figo, saratani, nk, yanazidi kushika kasi.
Konyogi, K-vant na pombe kali nyingine nyingi za jamii ya viroba (kama Cuca na wenzanke) nyingi feki
 
Kuhusu pombe zinazotengenezwa mtaan , ni kweli Hazipimwi.

Turud suala la Rwanda.
Wao wamefungia Brand 52 za Pombe kali.
Unataka kuniambia zote zinatengenezwa mtaani?.

Sidhani.
Sababu ndio hiyo kuwa kiwango cha ethanol kimezidi. Na nyingne wamegundua zina methanol .

Nasema ni propaganda kwasababu. Serikali yoyote ikitaka kuamua jambo lake linaweza kusingizia sababu kadhaa ilimradi tu Jambo lao lipite.

Leo wanaweza wakaamka na kuzuia energy drink na kusema kuwa kuna kiambatanisho kiko ndan ya hizo energy na kinasababisha madhara kwenye moyo.

Na sio kwasababu Energy drinks ziko fake mtaani.

Kwahiyo Kwamba pombe fake ndio zinaingia Rwanda. Ninakataa.
Kama Zimezidi kiwango cha Ethanol , nakataa pia.
wao hawataki vinywaji vikali vinavyotumia ethanol kwa kiwngo flani. Wanadai kuwa ni kiwango kikubwa. Wakati ni Normal 35%-43% inayokubalika kimataifa.
Mkuu, mpaka Ethanol inazidi kiwango kinachostahili na mpaka pombe inakuwa na methanol maana yake hizo pombe hazijatengenezwa na wataalam wala hazijapimwa, hizo ni pombe za vichochoroni. Zinapaswa kufungiwa kabla nchi haijateketea.
Na kama Rwanda wana kiwango chao cha ethanol kinachokubalika hata kama ni cha tofauti na tunachotambua sisi, anayeruhusu pombe yenye ethanol iliyozidi kiwango kinachostahili anatakiwa awajibishwe.
Serikali inaweza kutumia propaganda sikatai, ila kwa hili kabla ya kusema propaganda tujithibitishie kwamba hapa Bongo hakuna pombe feki kitu ambacho haiwezekani maana pombe feki zimetapakaa kama hewa ya oxygen. Pia tujithibitishie kama hizo pombe feki hazijapelekwa Rwanda kuuzwa kitu ambacho hakiwezekani maana wafanyabiashara wanaouza hizo pombe hawazipimi kabla ya kuzipeleka nchi jirani.
 
Pombe ipi ya vichochoroni? yaani hizi pombe feki za 61% siyo gongo zeru za kienyeji, wala siyo Dady, komon wala choya ya kigogo. Ni pombe rasmi zinzozouzwa katika maduka rasmi ila mengi ne feki. Dido kuna msambazaji mmoja mkubwa naye aliakuwa natulisha konyagi feki, mamlaka zizlimtisha kigodo tu na bado anaendelea na bishara kama kawa. sasa sijui kaacha kuzalisha feki au bado anazalisha na kuzichanganya na za Brewaries
 
achana na hizo pombe mkuu mtaani wanadai hadi maji ya chupa nayo ni holaaa, imagine kuna kiwanda x kilisitisha huduma kwa muda ili kubaini uwepo wa brand yake feki mtaani na aliwadaka wazalishaji feki.
Sio kiwanda x umesahau alikanatwa mtu na mtambo wa kutengeneza kisungura tegeta kwa ndevu sijui hata kesi iliishia wapi!
 
Pombe ipi ya vichochoroni? yaani hizi pombe feki za 61% siyo gongo zeru za kienyeji, wala siyo Dady, komon wala choya ya kigogo. Ni pombe rasmi zinzozouzwa katika maduka rasmi ila mengi ne feki. Dido kuna msambazaji mmoja mkubwa naye aliakuwa natulisha konyagi feki, mamlaka zizlimtisha kigodo tu na bado anaendelea na bishara kama kawa. sasa sijui kaacha kuzalisha feki au bado anazalisha na kuzichanganya na za Brewaries
Pombe iwe na methanol halafu isiwe ya kichochoroni? Yaani kiwandani watoe pombe yenye methanol??. Au sio wewe uliyesema huko Rwanda wamekataza kwa sababu wamekuta methanol?.
Au wewe za vichochoroni unamaanisha gongo pekee? Sasahivi kuna hadi Jack Daniels za vichochoroni zimepigwa lebo safi na zinauzwa maduka rasmi.
 
Hizo pombe siku hz haziivi vizuri
Ndomaana wagonjwa wa sukari wanaongezeka
Nimefanya kazi kwenye huo mzungu
 
Duuh,
Kwamba 61% ya pombe za Tanzania ni Feki??

Wangefafanua aina za hizo pombe ambazo ni bandia.

Je, wine ni salama?

Watengenezaji wa hizo Feki ni nani? Je, ni viwanda bubu vya Wachina?

Je, TBS, Policcm, na mamlaka zingine wametiwa mfukoni na hao wahalifu?

Si ajabu magonjwa ya figo, saratani, nk, yanazidi kushika kasi.
Pombe nyingi zinatengenezwa. vichochoroni
 
Hata konyagi waliizuia ina maana hata konyagi yetu ni illicity!?
#fitna zao tu,hawana lolote!...
#Mamlaka zitakuwa zimeona hizo pombe zinaweza kutengenezwa kwao bila kuagiza nje!...
Hahaha,
Ndugu chawa,
Kama unakunywa Konyagi wafwa, kapime figo, ini, bandama, kongosho, nk...

Hizo wahuni walianza kuzifyatua kitambo sana..

Polisi wagundua kiwanda cha Konyagi bandia | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/polisi-wagundua-kiwanda-cha-konyagi-bandia-2796830
 
Back
Top Bottom