Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

Pombe ndio mama wa maasi

Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo


Unasema pombe ni ‘mama wa maasi’ na Uislamu uko sahihi kwa kuikataza. Sawa, Qur’an 5:90 inasema pombe ni uchafu na uepukwe.

Lakini Qur’an 47:15 inaeleza Pepo kuwa kuna mito ya khamr (divai), na Qur’an 56:18–19 inaeleza vinywaji hivyo kuwa havileweshi wala kuleta maumivu ya kichwa.
 
Hiyo ni nadharia, uhalisia ni tofauti kabisaa.

Kuna Kobaz wengi tu ambao ni wamiliki wa Baa na maduka ya pombe. Pia jaribu kupiitia Baa yoyote mikoa ya Pwani, utakuta wahudumu wengi ni hao
Huo uasi wao hauhalalishi uharamu wa pombe
Kwani kuna mapastor wangapi wana watoto na ilihali hawatakiwi kuoa?
 
Hata konyagi waliizuia ina maana hata konyagi yetu ni illicity!?
#fitna zao tu,hawana lolote!...
#Mamlaka zitakuwa zimeona hizo pombe zinaweza kutengenezwa kwao bila kuagiza nje!...
 
Nafikiri hii ni vita ya kiuchumi tu, Rwanda ni muhasimu wetu, huenda ikawa amefanya hvyo ila kuvipromote vinywaji vya nchi yake.
Naamini angekuwa sahihi kwa kutueleza scientifically kwa jinsi gani vinywaji vyetu sio vizuri.
Au pia huenda yeye mwenye alishindwa kuzuia uingizwaji wa vinywaji fake mchini Kwake.
Acheni kutetea ujinga. Rwanda inajali raia wake sio kama huko Tanzania. Watu wanachukua hatua wewe unaleta maswali uchwara.
 
Kwakweli.
Hatua zaidi Zichukuliwe.

Zile pombe zilizomwagwa nimesikia kuwa mfano K vant imeandikwa ethanol iko 35% lakin walivyopima wakakuta ina 70% ya ethanol. Ambayo ni mara 2 na ni hatar kwa afya ya mtumiaji.

Ndio maana wakaconclude kuwa ni fake.
Ethanol 70 %???. Hii ni sanitizer na sio pombe ya kunywa. Haya ni mauaji.
 
Nafikiri hii ni vita ya kiuchumi tu, Rwanda ni muhasimu wetu, huenda ikawa amefanya hvyo ila kuvipromote vinywaji vya nchi yake.
Naamini angekuwa sahihi kwa kutueleza scientifically kwa jinsi gani vinywaji vyetu sio vizuri.
Au pia huenda yeye mwenye alishindwa kuzuia uingizwaji wa vinywaji fake mchini Kwake.
Sio vita ya kiuchumi, hii ni kweli na hata takwimu zipo zilizopatikana kwa kufuatilia pombe zinazouzwa hapa hapa Tanzania. Na Rwanda hawajafungia pombe za Tanzania tu, zipo za nchi nyingine pia mfano India.
 
Hili la vileo kukataliwa Rwanda inaweza kuwa ni vita ya kibiashara. Lakini yote kwa yote Tanzania kuna vinywaji hatarishi vingi mno, kuanzia energy drinks, pombe za bei ndogo (hizi ndio zimetapakaa kila kona kwa majina tofauti), pombe feki nk. Hata hayo mataputapu wapishi wanatia vitu kama madawa mbalimbali
 
Ethanol 70 %???. Hii ni sanitizer na sio pombe ya kunywa. Haya ni mauaji.
Nadhan ni propaganda ya serikali yao.

Ethanol huwa ina range 35%-43%.
Sasa wao wamesema kiwango kimezidi.
Pia wamepiga marufuku hata Viwanda vya kwao kuagiza Ethanol kutoka nje.

Sababu kuu wanasema Kuna kesi za vifo na Upofu nyingi na ambazo zimesababishwa na Matumizi yaliokithiri ya Ethanol.

Na pombe sio za TZ pekeyake zilizokatazwa. Katika brand 52 waliokataza. Brand 14 tu ndio za TZ.
Nyingne zimetoka Kenya, Uganda, Burund na nchi nyingne.
 
Hili la vileo kukataliwa Rwanda inaweza kuwa ni vita ya kibiashara. Lakini yote kwa yote Tanzania kuna vinywaji hatarishi vingi mno, kuanzia energy drinks, pombe za bei ndogo (hizi ndio zimetapakaa kila kona kwa majina tofauti), pombe feki nk. Hata hayo mataputapu wapishi wanatia vitu kama madawa mbalimbali
Hata Vinywaji vya kwao vyenye ethanol nyingi wamevifungia.

Kwahiyo ishu sio Biashara.
Ni kuthibiti madhara/magonjwa yanayotokana na matumizi ya muda mrefu wa ethanol na Methanol.
 
Nadhan ni propaganda ya serikali yao.

Ethanol huwa ina range 35%-43%.
Sasa wao wamesema kiwango kimezidi.
Pia wamepiga marufuku hata Viwanda vya kwao kuagiza Ethanol kutoka nje.

Sababu kuu wanasema Kuna kesi za vifo na Upofu nyingi na ambazo zimesababishwa na Matumizi yaliokithiri ya Ethanol.

Na pombe sio za TZ pekeyake zilizokatazwa. Katika brand 52 waliokataza. Brand 14 tu ndio za TZ.
Nyingne zimetoka Kenya, Uganda, Burund na nchi nyingne.
Una uhakika gani kama ni propaganda mkuu? Hizi pombe za Bongo zinazotengenezwa vichochoroni nani anapima kuthibitisha zina kiwango gani cha ethanol?. Na upofu chanzo chake sio matumizi ya ethanol,kinacholeta upofu ni methanol. Uwepo wa methanol ni kithibitisho hizo pombe hazitengenezwi na wataalam wala hazipimwi popote,kama watu wamepata upofu hakuna namna ya kujitetea, zipigwe marufuku,ni uuaji.
 
achana na hizo pombe mkuu mtaani wanadai hadi maji ya chupa nayo ni holaaa, imagine kuna kiwanda x kilisitisha huduma kwa muda ili kubaini uwepo wa brand yake feki mtaani na aliwadaka wazalishaji feki.
Nimeenda mikoa mitatu nimekuta ain moja Tu ya maji, nikajiuliza huyu mzalishaji ni mmoja Tu anasambaza mikoa yote wengine wameenda wapi?
 
Back
Top Bottom