Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Pombe kuwa na madhara inaweza kuthibitisha madhara ya pombe, haiwezi peke yake kuthibitisha ukweli wa Uislamu mzima.Pombe ndio mama wa maasi
Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo
Pombe ndio mama wa maasi
Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo
Unasema pombe ni ‘mama wa maasi’ na Uislamu uko sahihi kwa kuikataza. Sawa, Qur’an 5:90 inasema pombe ni uchafu na uepukwe.
Lakini Qur’an 47:15 inaeleza Pepo kuwa kuna mito ya khamr (divai), na Qur’an 56:18–19 inaeleza vinywaji hivyo kuwa havileweshi wala kuleta maumivu ya kichwa.
Huo uasi wao hauhalalishi uharamu wa pombeHiyo ni nadharia, uhalisia ni tofauti kabisaa.
Kuna Kobaz wengi tu ambao ni wamiliki wa Baa na maduka ya pombe. Pia jaribu kupiitia Baa yoyote mikoa ya Pwani, utakuta wahudumu wengi ni hao
Akili kumkichwaMasigara na mirungi je
Hata ukristo unakataza pombe.Pombe ndio mama wa maasi
Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo
Acheni kutetea ujinga. Rwanda inajali raia wake sio kama huko Tanzania. Watu wanachukua hatua wewe unaleta maswali uchwara.Nafikiri hii ni vita ya kiuchumi tu, Rwanda ni muhasimu wetu, huenda ikawa amefanya hvyo ila kuvipromote vinywaji vya nchi yake.
Naamini angekuwa sahihi kwa kutueleza scientifically kwa jinsi gani vinywaji vyetu sio vizuri.
Au pia huenda yeye mwenye alishindwa kuzuia uingizwaji wa vinywaji fake mchini Kwake.
Ethanol 70 %???. Hii ni sanitizer na sio pombe ya kunywa. Haya ni mauaji.Kwakweli.
Hatua zaidi Zichukuliwe.
Zile pombe zilizomwagwa nimesikia kuwa mfano K vant imeandikwa ethanol iko 35% lakin walivyopima wakakuta ina 70% ya ethanol. Ambayo ni mara 2 na ni hatar kwa afya ya mtumiaji.
Ndio maana wakaconclude kuwa ni fake.
Sio vita ya kiuchumi, hii ni kweli na hata takwimu zipo zilizopatikana kwa kufuatilia pombe zinazouzwa hapa hapa Tanzania. Na Rwanda hawajafungia pombe za Tanzania tu, zipo za nchi nyingine pia mfano India.Nafikiri hii ni vita ya kiuchumi tu, Rwanda ni muhasimu wetu, huenda ikawa amefanya hvyo ila kuvipromote vinywaji vya nchi yake.
Naamini angekuwa sahihi kwa kutueleza scientifically kwa jinsi gani vinywaji vyetu sio vizuri.
Au pia huenda yeye mwenye alishindwa kuzuia uingizwaji wa vinywaji fake mchini Kwake.
Kutengeneza pombe sio kazi mkuu, hata wewe ukipata malighafi unatengeneza.Kuna mchina mmoja alikuwa ananiambia anavyoweza tengeneza pombe nyumbani
Nadhan ni propaganda ya serikali yao.Ethanol 70 %???. Hii ni sanitizer na sio pombe ya kunywa. Haya ni mauaji.
Hata Vinywaji vya kwao vyenye ethanol nyingi wamevifungia.Hili la vileo kukataliwa Rwanda inaweza kuwa ni vita ya kibiashara. Lakini yote kwa yote Tanzania kuna vinywaji hatarishi vingi mno, kuanzia energy drinks, pombe za bei ndogo (hizi ndio zimetapakaa kila kona kwa majina tofauti), pombe feki nk. Hata hayo mataputapu wapishi wanatia vitu kama madawa mbalimbali
Una uhakika gani kama ni propaganda mkuu? Hizi pombe za Bongo zinazotengenezwa vichochoroni nani anapima kuthibitisha zina kiwango gani cha ethanol?. Na upofu chanzo chake sio matumizi ya ethanol,kinacholeta upofu ni methanol. Uwepo wa methanol ni kithibitisho hizo pombe hazitengenezwi na wataalam wala hazipimwi popote,kama watu wamepata upofu hakuna namna ya kujitetea, zipigwe marufuku,ni uuaji.Nadhan ni propaganda ya serikali yao.
Ethanol huwa ina range 35%-43%.
Sasa wao wamesema kiwango kimezidi.
Pia wamepiga marufuku hata Viwanda vya kwao kuagiza Ethanol kutoka nje.
Sababu kuu wanasema Kuna kesi za vifo na Upofu nyingi na ambazo zimesababishwa na Matumizi yaliokithiri ya Ethanol.
Na pombe sio za TZ pekeyake zilizokatazwa. Katika brand 52 waliokataza. Brand 14 tu ndio za TZ.
Nyingne zimetoka Kenya, Uganda, Burund na nchi nyingne.
Sio kweliPombe zote za Tanzania ni mataputapu tu
Nimeenda mikoa mitatu nimekuta ain moja Tu ya maji, nikajiuliza huyu mzalishaji ni mmoja Tu anasambaza mikoa yote wengine wameenda wapi?achana na hizo pombe mkuu mtaani wanadai hadi maji ya chupa nayo ni holaaa, imagine kuna kiwanda x kilisitisha huduma kwa muda ili kubaini uwepo wa brand yake feki mtaani na aliwadaka wazalishaji feki.