Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Una uhakika gani kama ni propaganda mkuu? Hizi pombe za Bongo zinazotengenezwa vichochoroni nani anapima kuthibitisha zina kiwango gani cha ethanol?. Na upofu chanzo chake sio matumizi ya ethanol,kinacholeta upofu ni methanol. Uwepo wa methanol ni kithibitisho hizo pombe hazitengenezwi na wataalam wala hazipimwi popote,kama watu wamepata upofu hakuna namna ya kujitetea, zipigwe marufuku,ni uuaji.
Kama tu zimeshindwa kukidhi viwango vya ubora vya Rwanda, je vitaweza vipi kupenya kwenye masoko ya Ulaya, Marekani na Asia?Sio kweli
Sinywi brand za Tanzania kitambo mkuu
Hata izo whisky wanafyatua fekiSinywi brand za Tanzania kitambo mkuu
Sinywi pombe za TanzaniaHata izo whisky wanafyatua feki
Nenda tandale hadi izo Jack Daniels sijui black label watu wafyatua na stika ya tra ipoSinywi pombe za Tanzania
Konyogi, K-vant na pombe kali nyingine nyingi za jamii ya viroba (kama Cuca na wenzanke) nyingi fekiDuuh,
Kwamba 61% ya pombe za Tanzania ni Feki??
Wangefafanua aina za hizo pombe ambazo ni bandia.
Je, wine ni salama?
Watengenezaji wa hizo Feki ni nani? Je, ni viwanda bubu vya Wachina?
Je, TBS, Policcm, na mamlaka zingine wametiwa mfukoni na hao wahalifu?
Si ajabu magonjwa ya figo, saratani, nk, yanazidi kushika kasi.
Mkuu, mpaka Ethanol inazidi kiwango kinachostahili na mpaka pombe inakuwa na methanol maana yake hizo pombe hazijatengenezwa na wataalam wala hazijapimwa, hizo ni pombe za vichochoroni. Zinapaswa kufungiwa kabla nchi haijateketea.Kuhusu pombe zinazotengenezwa mtaan , ni kweli Hazipimwi.
Turud suala la Rwanda.
Wao wamefungia Brand 52 za Pombe kali.
Unataka kuniambia zote zinatengenezwa mtaani?.
Sidhani.
Sababu ndio hiyo kuwa kiwango cha ethanol kimezidi. Na nyingne wamegundua zina methanol .
Nasema ni propaganda kwasababu. Serikali yoyote ikitaka kuamua jambo lake linaweza kusingizia sababu kadhaa ilimradi tu Jambo lao lipite.
Leo wanaweza wakaamka na kuzuia energy drink na kusema kuwa kuna kiambatanisho kiko ndan ya hizo energy na kinasababisha madhara kwenye moyo.
Na sio kwasababu Energy drinks ziko fake mtaani.
Kwahiyo Kwamba pombe fake ndio zinaingia Rwanda. Ninakataa.
Kama Zimezidi kiwango cha Ethanol , nakataa pia.
wao hawataki vinywaji vikali vinavyotumia ethanol kwa kiwngo flani. Wanadai kuwa ni kiwango kikubwa. Wakati ni Normal 35%-43% inayokubalika kimataifa.
Pombe ipi ya vichochoroni? yaani hizi pombe feki za 61% siyo gongo zeru za kienyeji, wala siyo Dady, komon wala choya ya kigogo. Ni pombe rasmi zinzozouzwa katika maduka rasmi ila mengi ne feki. Dido kuna msambazaji mmoja mkubwa naye aliakuwa natulisha konyagi feki, mamlaka zizlimtisha kigodo tu na bado anaendelea na bishara kama kawa. sasa sijui kaacha kuzalisha feki au bado anazalisha na kuzichanganya na za BrewariesMkuu, mpaka Ethanol inazidi kiwango kinachostahili na mpaka pombe inakuwa na methanol maana yake hizo pombe hazijatengenezwa na wataalam wala hazijapimwa, hizo ni pombe za vichochoroni. Zinapaswa kufungiwa kabla nchi haijateketea.
Na kama Rwanda wana kiwango chao cha ethanol kinachokubalika hata kama ni cha tofauti na tunachotambua sisi, anayeruhusu pombe yenye ethanol iliyozidi kiwango kinachostahili anatakiwa awajibishwe.
Serikali inaweza kutumia propaganda sikatai, ila kwa hili kabla ya kusema propaganda tujithibitishie kwamba hapa Bongo hakuna pombe feki kitu ambacho haiwezekani maana pombe feki zimetapakaa kama hewa ya oxygen. Pia tujithibitishie kama hizo pombe feki hazijapelekwa Rwanda kuuzwa kitu ambacho hakiwezekani maana wafanyabiashara wanaouza hizo pombe hawazipimi kabla ya kuzipeleka nchi jirani.
Bwashee wewe jua tu sinywi hizo pombeNenda tandale hadi izo Jack Daniels sijui black label watu wafyatua na stika ya tra ipo
Ndio hata wewe unaweza kutengeneza ila wine ni rahisi zaidi.Kuna mchina mmoja alikuwa ananiambia anavyoweza tengeneza pombe nyumbani
Sio kiwanda x umesahau alikanatwa mtu na mtambo wa kutengeneza kisungura tegeta kwa ndevu sijui hata kesi iliishia wapi!achana na hizo pombe mkuu mtaani wanadai hadi maji ya chupa nayo ni holaaa, imagine kuna kiwanda x kilisitisha huduma kwa muda ili kubaini uwepo wa brand yake feki mtaani na aliwadaka wazalishaji feki.
Juzi nilikunywa serengeti inayonukia kiaina, kesho yake niliharisha mwendo wa "projectile motion"Pombe zote za Tanzania ni mataputapu tu
Pombe iwe na methanol halafu isiwe ya kichochoroni? Yaani kiwandani watoe pombe yenye methanol??. Au sio wewe uliyesema huko Rwanda wamekataza kwa sababu wamekuta methanol?.Pombe ipi ya vichochoroni? yaani hizi pombe feki za 61% siyo gongo zeru za kienyeji, wala siyo Dady, komon wala choya ya kigogo. Ni pombe rasmi zinzozouzwa katika maduka rasmi ila mengi ne feki. Dido kuna msambazaji mmoja mkubwa naye aliakuwa natulisha konyagi feki, mamlaka zizlimtisha kigodo tu na bado anaendelea na bishara kama kawa. sasa sijui kaacha kuzalisha feki au bado anazalisha na kuzichanganya na za Brewaries
Pombe ndio mama wa maasi
Mtatuelewa tu Uislamu ulivokataza pombe upo sahihi sanaaa na unaendelea kua sahihi kwa kila jambo
Sawa..dialysis inawasubiria Muhimbili 500K per dayHebu mtuache aisee, hunywi basi kausha acha kutafuta umaarufu kupitia sisi.
Pombe nyingi zinatengenezwa. vichochoroniDuuh,
Kwamba 61% ya pombe za Tanzania ni Feki??
Wangefafanua aina za hizo pombe ambazo ni bandia.
Je, wine ni salama?
Watengenezaji wa hizo Feki ni nani? Je, ni viwanda bubu vya Wachina?
Je, TBS, Policcm, na mamlaka zingine wametiwa mfukoni na hao wahalifu?
Si ajabu magonjwa ya figo, saratani, nk, yanazidi kushika kasi.
Hahaha,Hata konyagi waliizuia ina maana hata konyagi yetu ni illicity!?
#fitna zao tu,hawana lolote!...
#Mamlaka zitakuwa zimeona hizo pombe zinaweza kutengenezwa kwao bila kuagiza nje!...