Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

Nadhani Bora gongo kuliko hizi spirits za kwenye vichupa. Vijana mitaani wamekuwa kama kambalale. Kichwa kikubwa mwili kwisha habari yake. Hali inatosha mitaani
 
Kwa hiyo wewe huamini kama kuna vinywaji Feki hapo Tanzania??

Em waulize policcm kwanza kabla ya kuleta ubishi maana kuna mambo wanafahamu juu ya hilo sakata..

Polisi wagundua kiwanda cha Konyagi bandia | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/polisi-wagundua-kiwanda-cha-konyagi-bandia-2796830
 
Una kichwa kigumu cha kuelewa kama muha. hizo pombe feki 61% ni pombe za kishua unazozijua wewe ikiwemo Konyagi, K-Vant na pombe kali nyingine unazozijua. Ujuongeza hizi za kwetu za kienyeji uharamu wa pombe unaweza kufikia hata asimilia 80. Huyo aliyesema Rwanda pia siyo mimi lakini haiondoi ukweli kwamba Tanzania tuna pombe feki nyingi sana.
 
Mwenye kichwa kigumu ni wewe uliyesema pombe feki sio za vichochoroni.
 
Rwanda ipo katika kukontrol alkoholics drinks na siyo pombe za Tanzania kwamba ni fake
Not that!,kwani zipo pombe kutoka mataifa mengi tu zimekataliwa,
---------
πŸ›‘πŸ›‘πŸ›‘πŸ›‘
---------
The action appears to be part of a much broader crackdown on alcoholic beverages, rather than a Tanzania-only measure. Products from Uganda, Kenya, Burundi, India and Poland were also affected.
 
01 Visungura pombe kali
02 energy drinks
dawa/sumu ya wadudu inayopulizwa kwenye mboga mboga na matunda
pombe feki

03#### vijana kuchanganya pombe na energy drinksπŸ’£πŸ’£πŸ’£

hayo yote yasipo MULIKWA baada ya miaka 5-10 mbeleni

tutakuwa na vijana wengi wataanza kuomba kuchangiwa matibabu ya kuchuja damu/MAGONJWA YA FIGO

moyo mqini,saratani,nguvu za kiume n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…