Poleni sana watanzania kwa matokeo mliyoyapa jana zidi ya ETHIOPIA

Poleni sana watanzania kwa matokeo mliyoyapa jana zidi ya ETHIOPIA

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Sio kitu rahisi kuamini ili ilikuwa ni dua zangu kwenye mkeka wangu.
Ambaye mpaka sasa hivi kabakia Algeria naombeni ushauri wa mikeka je ni cashout?
 

Attachments

  • Screenshot_20240905-082307.jpg
    Screenshot_20240905-082307.jpg
    193.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240904-213945.jpg
    Screenshot_20240904-213945.jpg
    233.6 KB · Views: 2
Uko nchi gani mkuu? Kiswahili bei gani huko? Unalipa ama ni free in charge
 
Hongera hiyo bet inakula hela kiulaini usisahau kutubless, ila hakuna mtu anayeumizwa na Taifa Stars kwani tunawafahamu ndo maana hata ww huwaamini ndo maana ukaweka draw
 
Kama imeleta kiasi cha kutosha kupita stake we chimba harafu Lala mbele😄
 
Back
Top Bottom