GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni Fundisho kwa wengine wote.
Uongozi wa Simba SC naomba katika Jopo langu mniletee Mzee Hassan Dalali, Mafia wangu wa Mipira Kassim Dewji, Yule Bibi wa Pemba mwenye Ziwa Moja, Yule Babu yetu wa Morogoro ambaye hupanda Milima ya Uluguru kwa Baiskeli bila Kunyonga Pedeli na Yule Mtoto Mdogo wa Mbeya ili Kazi yangu ( yetu ) iwe rahisi.
Si Mzee wao wa Ikwiriri anasema ana Watu? Sasa Mimi GENTAMYCINE namjibu kuwa sina tu Watu bali nina Mafundi na Magwiji na namuomba huyo Mzee tukutane Mkoani Kigoma ndipo atatujua kuwa Tanzania nzima Bingwa wa Kuroga, Fitina na Umafia Michezoni ni Simba SC.
Nina hasira ambayo haina mfano sasa.