Poleni wanaume

Hivi vipombe vya Bei rahisi vya buku mbili mbili vinaaribu vibinti vya watu
 
Jf ina wanaume wengi kuliko wanawake, wanaoanzisha nyuzi mostly ni wanaume pekee.

Nenda mitandao ambayo girls ni wengi uone wanawake wanavyoshauriana juu ya wanaume kama hapa jf wanaume tunavoshauriana.

Ni 50/50 si ke wala me, yabia mbofu mbofu zipo kote.
 
huyo alikuwa bwege, mwanamme unaanzaje kumlilia mwanamke?
 
"Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma"

Ushaanza kujuta, mwanaume ni maji, usipoyanywa, utayakoga.
 
Ndio maana nikikamata nahakikisha nimetomb kisawasawa ili hata km siku ukijifanya kisabengo ukienda najua utakua unakaa unakumbuka kuna shughuli uliwahi kukutana nayo ulipokua na Mimi kutokana na jinsi ambavyo nimekushughulisha
 
We mwenyewe Kama Cha kuku tu nani akukumbukee
 
Watu tegemezi kihisia ndiyo wako na shida hiyo ya kung'ang'ania alipokataliwa, ni disorder. Unaweza kufikiri unapendwa kumbe ni manifestation tu ya hiyo condition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…