The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHWHA😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kama ni njemba [emoji23][emoji23]Hili njemba mazee, kuna faida gan kua na id zaid ya moja mbona hamjiamini.
Matapeli wa mitandao ndo hawa ss
sauti ndani yangu inaniambia ni tapeli la mtandao, wale wa nitumie nauli na hela ya kusuka nije weekend! akiiziokota okota anafungua kwa jina jipya tena, nahis watu huwa wnaogopa kutoa ushuhuda wa kupigwa si anaona atasemwa humu wasionekane mafisiUmejuaje kama ni njemba [emoji23][emoji23]
Umefafanua vizuri Ila umekosa kiambatanisho (ushahidi) kuhusu ujemba wa huyo mtu.sauti ndani yangu inaniambia ni tapeli la mtandao, wale wa nitumie nauli na hela ya kusuka nije weekend! akiiziokota okota anafungua kwa jina jipya tena, nahis watu huwa wnaogopa kutoa ushuhuda wa kupigwa si anaona atasemwa humu wasionekane mafisi
Hayajanikuta mkuu bado kisa sina shobo za pm, ila si ndo mambo ya onyo kwa wadau kama mchungaji anavoonya juu moto hata hajafika kuzimuUmefafanua vizuri Ila umekosa kiambatanisho (ushahidi) kuhusu ujemba wa huyo mtu.
Ninapoongelea ushahidi namaanisha uthibitisho wa wewe kuombwa salio /nauli na njemba mwenzio.
Tupe ushahidi iwapo yalikukuta.
Hukumwacha tu kwasabu izo ila Sababu ulikuwa na mbadalaWanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma
Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Bye[emoji23]
Tako ni mhimu , huwa Lina vibe fulan hv , mwanamke mwenye tako ni Tiba Kwa mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiumeWanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma
Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Bye[emoji23]
Kumbe ni sura ya zigzagPolenii nipo na trako sura hata mbuzi anayo
Basi tutamatishe kwa kusema...... "mwenye masikio na asikie onyo hili..."mambo ya onyo kwa wadau kama mchungaji anavoonya juu moto hata hajafika kuzimu
Asante kunisahihisha kiongozi, uko sawa.Basi tutamatishe kwa kusema...... "mwenye masikio na asikie onyo hili..."
Sa mbona kama wewe ndo umechanganyikiwa kuliko huyo X wako, shida nini?Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma
Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Bye[emoji23]
Hizo dizaini zinakuwaga na nyodo sana, umepatia sana hapo!.Nishajua wewe ni flat screen
Kumbe hii vita ya ukweli!!Ndio maana munakufa nyie… mimi mwenzio nimeachwa nishatangaza kwa watu baada ya mwezi nimesahau wewe sasa itakugharimu Miaka kusahau mwisho wa siku unaishia kujiuaa[emoji23][emoji23]