Poleni wanaume

Poleni wanaume

Na wewe ukaamini kabisa jamaa alichanganyikiwa hadi kutafuta mwanasaikolojia?
 
Matr
Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa

Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu

Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh

Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma

Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo

Bye[emoji2

Bye
emoji23.png
Matrakoo muhimu sana ndomana huwezi kuta pickup isiyo na
Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa

Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu

Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh

Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma

Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo

Bye[emoji23]
Ndomana hata gari hua ina buti sasa ni nani anaetaka mwanamke asiye na buti?!
 
Una pesa ya kununua we kapuku [emoji41]
Alikuacha akaumwa na ukichaa sababu alikuwa anajuta muda na rasirimali alizopoteza kwa vampire ambalo yamkin aliliona mwanzon ila akaamini litabadilika kumbe hola.

Kwa hiyo endelea kujusifia mwenzako atatulia, atapona moyo na kuoa mwanamke halisi.

Vampire endelea kusuta wanaume mtandaoni
 
Back
Top Bottom