Poleni wanaume

sauti ndani yangu inaniambia ni tapeli la mtandao, wale wa nitumie nauli na hela ya kusuka nije weekend! akiiziokota okota anafungua kwa jina jipya tena, nahis watu huwa wnaogopa kutoa ushuhuda wa kupigwa si anaona atasemwa humu wasionekane mafisi
Umefafanua vizuri Ila umekosa kiambatanisho (ushahidi) kuhusu ujemba wa huyo mtu.

Ninapoongelea ushahidi namaanisha uthibitisho wa wewe kuombwa salio /nauli na njemba mwenzio.

Tupe ushahidi iwapo yalikukuta.
 
Umefafanua vizuri Ila umekosa kiambatanisho (ushahidi) kuhusu ujemba wa huyo mtu.

Ninapoongelea ushahidi namaanisha uthibitisho wa wewe kuombwa salio /nauli na njemba mwenzio.

Tupe ushahidi iwapo yalikukuta.
Hayajanikuta mkuu bado kisa sina shobo za pm, ila si ndo mambo ya onyo kwa wadau kama mchungaji anavoonya juu moto hata hajafika kuzimu
 
Hukumwacha tu kwasabu izo ila Sababu ulikuwa na mbadala
 
Tako ni mhimu , huwa Lina vibe fulan hv , mwanamke mwenye tako ni Tiba Kwa mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume
 
Sa mbona kama wewe ndo umechanganyikiwa kuliko huyo X wako, shida nini?
traako?
 
Ndio maana munakufa nyie… mimi mwenzio nimeachwa nishatangaza kwa watu baada ya mwezi nimesahau wewe sasa itakugharimu Miaka kusahau mwisho wa siku unaishia kujiuaa[emoji23][emoji23]
Kumbe hii vita ya ukweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…