VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Kuna siku upinzani utakapoona hakuna njia na kukaa pembeni basi tusishangae JWTZ wakawa wao ndio wapinzani dhidi ya dhuluma, ubadhilifu na ufisadi.Mkuu hatuna jinsi tutafanyaje Sasa na upinzani makini hamna acha tu twende hivyo hivyo ipo cku tutapata upinzan makini
Siku mtakapoamua ndio siku ccm itawakabidhi nchi
Upinzani wa kweli utatoka misituni na mtutu ya bundukiHuko nyuma nilishawahi ku comment kwenye nyuzi nyingi tu kuwa 2020 CHADEMA hakitakuwa chama kikuu cha upinzani.
Pia Mwalimu alisema upinzani wa kweli utatoka CCM
Ha ha haKwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020:
1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja kindakindaki ili ajiunge na 'upinzani'.
2. Kila kwenye uchaguzi mkuu wa vyama vingi, CCM hujitahidi kuhakikisha kuwa ina mgombea zaidi ya mmoja kwenye Urais na Ubunge ili kuzigawa kura za upinzani.
3. Kila mwaka wa uchaguzi, CCM, katika umakini na utaalamu wa hali ya juu, hukikuza chama kimoja kuwa 'tishio' cha upinzani ili kubadili upepo wa kisiasa.
4. Mrema, Lowassa na Membe wanahusika na 1 na 2 hapo juu.
5. NCCR-Mageuzi, CHADEMA na ACT-Wazalendo wanahusika na 3 hapo juu.
6. Hapa Tanzania, wapo wapinzani kweli na wapinzani 'feki'. Wapinzani feki ni wengi zaidi ya wale wa ukweli.
7. Zitto yupo kwa kazi maalum kwa manufaa ya CCM katika kila uchaguzi mkuu kuanzia 2000.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
unajua sababu za cdm kumfukuza zitto? ukizijua utajua kwanini ccm inahusishwaCdm ndio ilimfukuza zitto, lawama kwa ccm. Noma sana mazee.
Wewe utakuwa wapi, badala ya kuamua sasa? Unshauri wengine waamue kisha wewe ushangilie sio?
Unatakiwa kushiriki kiamua.
Hello motochini (hot pussy)! Nishakuwa mpuuzi tena baby? Itabidi ufanyiwe kitchen party tena kukufunda lugha nzuri. Siasa zisikupoteze!Alisikika Mpuuzi mmoja kutoka kwa Faru john
Sio rahisi watu wote muwe na wazo moja cha msingi wewe anzisha kisha watu watakufuata nyuma.Kama sote tungekua na msimamo mmoja basi katiba mpya na tume huru ingelikua imeshapatika
Kuna siku upinzani utakapoona hakuna njia na kukaa pembeni basi tusishangae JWTZ wakawa wao ndio wapinzani dhidi ya dhuluma, ubadhilifu na ufisadi.
Sasa sijui hao watakuwa wana bishania wapi hoja zao na ccm?
Ila kuna watu wengine sjui wakoje,Kuna siku upinzani utakapoona hakuna njia na kukaa pembeni basi tusishangae JWTZ wakawa wao ndio wapinzani dhidi ya dhuluma, ubadhilifu na ufisadi.
Sasa sijui hao watakuwa wana bishania wapi hoja zao na ccm?